Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Hapo kwa President Xi umetupangaRais wa China asingeweza kuhudhuria kwasababu chama chake CCP kipo katika mpango wa kumtimua.
Rais Xi muda huu hana mamlaka ya Jeshi la China na tayari ameshapokonywa Wizara ya police na usalama wa Taifa.
Rais Putin nchi yake ipo vitani safari za mara kwa mara ni ngumu sana upande wake.Ikumbukwe tayari ipo hati ya kimataifa ya kukamatwa.
Ni mapema sana kuanza kuidharau BRICS.
Ngongo kwasasa Brazil.
Kwa nini ?Ni mojawapo ya miungano ya hovyo kuwahi kutokea duniani
Ila Jf siku hizi imejaza wehuUle Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.
Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..
Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine
Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria
Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran
Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Hizi habari kuhusu Xi umepatia wapi mkuu ?Rais wa China asingeweza kuhudhuria kwasababu chama chake CCP kipo katika mpango wa kumtimua.
Rais Xi muda huu hana mamlaka ya Jeshi la China na tayari ameshapokonywa Wizara ya police na usalama wa Taifa.
Rais Putin nchi yake ipo vitani safari za mara kwa mara ni ngumu sana upande wake.Ikumbukwe tayari ipo hati ya kimataifa ya kukamatwa.
Ni mapema sana kuanza kuidharau BRICS.
Ngongo kwasasa Brazil.
Yaani ugomvi uuanzishe wewe kisha Nchi nyingine isiyopenda ugomvi iingilie ugomvi wako Yaani inunue kesi. Hahaha mie nilipoona Iran kaingia kwenye hicho chama nikajua mrengo utabadilika tuUle Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.
Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..
Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine
Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria
Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran
Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Tatizo lenu mnatazama TBC ambayo ipo kwaajili ya kumsifu Bi Tozo.Hizi habari kuhusu Xi umepatia wapi mkuu ?
Kwanini usiweke link ya hiyo habari tujisomee wenyeweTatizo lenu mnatazama TBC ambayo ipo kwaajili ya kumsifu Bi Tozo.
Rais Xi mwisho wake ni mwezi August 2025.
Majeneral wake wote wamefurushwa jeshini
Udhibiti wa Jeshi la China upo chini ya Vice Chairman General Zhang Youxia.
Mashirika makubwa ya ujasusi duniani yamesha chakata taarifa za kupoteza ushawishi ndani CCP.
Tuliwaonya tukaitwa wapenda migongo.Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.
Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..
Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine
Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria
Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran
Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Unamfahamu Chairman wa Central Military Commission ni nani ?Tatizo lenu mnatazama TBC ambayo ipo kwaajili ya kumsifu Bi Tozo.