Funika kombe mwanaharamu apite mkuuNasikia mama yenu kawatumia salamu za rambirambi...
Na Bendera nusu mlingoti wiki nzima .
Tuweni wakweli,ule mwandiko wa Samia au Afisa habari wa ikulu,kamsaidia mwajiri wake kuandika?
Usihangaike mkuu, ni minyumbu hiyo katika Moja na mbili.....Haina issue Sasa hivi kwahiyo kazi zao ni hizo tu; kuzusha fitina za kindezi.Hiyo nusu mlingoti umeiona wapi mkuu? Huku kijijini nyankurumbembe hatuna bendera