Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

Mimi Huwa nawashangaaa .


Hivi kama watu wanavujisha Video za mastaaa, na tunaona Tanzania nzima.


Bado mtu unakuja JF na visa vyako vya mafumbo yasoeleweka.



Kwahiyo hata Mimi niseme "Ebwanaaa yule Chui kazaaa Vijeba kaishia kuvilisha majani ,na majan yamekauka Dar nzima unaambiwa moto wake Si wa kitoto"


Hivi mtanielewa ???.


Mmiwa mna habari , hamtaki kutujuza, Kaeni nazo ...Alaaah!!!
Hahahaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nalo hili ni jipyaaa mjini???
Khaaaaah, watu na utelezi, Vairasi wapo tyuuh. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nalo hili ni jipyaaa mjini???
Khaaaaah, watu na utelezi, Vairasi wapo tyuuh. Lol
Mratibu wa code mwandamizi umekuja.
Tupe dokezo.
Hilo code limehesabiwa? 😂
 
Hatimaye jana katika kupenya penya huku na huko katika jiji la dar, nikapata kisa cha ule mwiba kwenye lile tango pori.

Iko hivii yule mkulima aliyepanda matango yake na hatimaye kugeuka matango pori, hakuwa muumini sana wa tiba zetu za mimea. Akaamua kuwalisha wana wa kinondoni na sinza matango pori kwa madai ni tiba mmbadala!

Duh sasa cmnakumbuka yale matango yaliingia miba? Ebwana eeh [emoji23] kumbe ni michongoma! Ndio michongoma na wadau wa kinondoni na sinza wameyala sana vijana kwa wazee.

Sasa habari ya kushtua ni kijana mmoja katika harakati za kutaka kukwea bombadia ili apae majuu, ilitakiwa acheki afya kama ipo poa duh asalalee! [emoji23][emoji23] Wamegundua ana mchongoma mwilini, kaghairisha safari, sasa hata yule top top wa madaleni alishakula tango pori.

Najua hujui na nakujuza kuwa makini na hayo matango pori. Watu wanapanga kufungua mashtaka huko, kwa kulishwa matango pori. Tutaisha jamanii!
umetuandikia mafumbo ili kuficha nini?....
kwa maslahi ya nani?.
 
Nimesoma mpaka mwisho nikiamini nasoma kuhusu matango ya kachumbari. Nakutana na comment nyingine kabisa.
Huu uzi umenithibitishia rasmi kuwa sasa mimi ni muhenga.
Wahenga tupo wengi,binafsi sioni ulazima wa kuandika mafumbo.
 
Back
Top Bottom