OK hivi lile là pili lilikataliwa ?
ExactlySiyo kila siku mchezaji atakuwa katika kiwango chake cha siku zote.
Kuna siku mpira unakataa miguu ya mchezaji.
Acha upuuzi wewe...Anajua nini ? Acheni mapenzi nyie watu wa Mani U
Pele kacheza ligi Brazil na Marekani. Pele ameisaidia Brazil kutwaa kombela dunia.Anajidhihirisha pâle pâle Mbona pele hakuhama lakini ubora wake ndio unaotukuka hadi leo ?
Hapa mchawi Ni kiwango tu
Pele kacheza ligi Brazil na Marekani. Pele ameisaidia Brazil kutwaa kombela dunia.
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
Kwa hiyo Ronaldo hajui mpira yani hata okwinyo anamzidi?
Upo sahihi Cr7 Niwakufananishwa na akina Diego Costa, Luis Suarez, Lukaku ,Mane,Neymar,Grezman nkSiku zote huwa nawaambia Attacking midfielder na striker ni vitu viwili tofauti. Huyo ronaldo mumlinganishe na mastriker wenzake yani wamaliziaji, na sio Attaking..ni kumkosea heshima Messi.
Wachezaji bora huwa hawahami timu. Pele alihama Santos akiwa na miaka kama 34 huko.Akaenda kustafia US. Ronaldo kaondoka Madrid baada ya kulalamikiwa kiwango kushuka.Huyo unayemsifia messi amewahi kutoka nje ya barca ili naye tumpime ubora wake kwa usawa kama mwenzeke aliyeperform vizuri kwenye timu zote alizowahi kuzichezea?
Umeongea maneno mazito kweli kweli ndugu... Yaani ilistahili uyaongelee bungeni dodoma mbele ya waziri mkuu !Siku zote huwa nawaambia Attacking midfielder na striker ni vitu viwili tofauti. Huyo ronaldo mumlinganishe na mastriker wenzake yani wamaliziaji, na sio Attaking..ni kumkosea heshima Messi.
Wachezaji bora huwa hawahami timu. Pele alihama Santos akiwa na miaka kama 34 huko.Akaenda kustafia US. Ronaldo kaondoka Madrid baada ya kulalamikiwa kiwango kushuka.
You a STUPID,thats all.Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
Hii game juventus alipoteza sio sare mkuu.Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
Chenga kwa CR7 ni msiba dahh naona ww hyo CR7 umeanza kumuangalia akiwa na miaka 30 fuatilia kipind yupo man u na madrid kabla umri haujaenda ndio utajua kam anajua chenga au hajuiAnasubiri atengewe then ascore, swala la chenga na kufunga kwake ni muiba. Halafu Cha kushangaza eti watu jf wanamcompare na king Leo, wakati Messi ni attacking na ronaldo ni striker/mmaliziaji [emoji23][emoji23]. Yani huyu ronaldo wao angelikuwa anacheza same possession na Messi hakianani asingefikisha hayo magoli.
Ni vizuri kuongelea uwezo au kipaji cha mtu sio timu... Yale yale Ya modric, amepewa tuzo na kiatu cha dhahabu yeye mwenyewe anahisi hastahili !Messi kacheza fainaly tatu moja world cup na mbil copa america na zote kapoteza na wana kikos kizur tu argentina