OK hivi lile là pili lilikataliwa ?
Lilikataliwa mkuu na sababu ni Ronaldo alikua offside position na alitakiwa aupishe tu mpira mazali ulikua unakwenda golini. Lakini kiherehere chake alitaka kuucheza japokua aliukosa lakini ikawa ni tayari ameshaingia mchezoni kwaiyo ikawa ni offside.
Lilkua bonge la goli jamaa kalitibua. Mana kipa asingelisave kabisa tayari alikua kashachuchumaa anautizama tu mpira.