Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

We unaongea utumbo tu huyo mesi msimu ulioisha kafanya nn sasa? Mpira sio malumbano ya ukawa.
 
Huku mtaani maisha magumu mpaka jamaa ananiuliza: β€œHivi luku haina kifurushi cha chuo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haiitajiki kutoka nje ya barca ili kupima ubora wa messi maana tayari ni king

Teh teh teh,sio haitaji kutoka nje,anajijua fika kuwa nje ya mfumo wa uchezaji wa barca yeye ni kama pipa bila mfuniko
 
Haiitajiki kutoka nje ya barca ili kupima ubora wa messi maana tayari ni king
Ndio maana Dunia inaamin Messi ni mfalme wa Barca.hakuna anayepingailo nikama Santiago Bernabeu lale Real Madrid. Ila akitaka atambulike kwa levo ya kidunia adhiirishe kwa kuisaidia timu yake ya faifa yenye vipaji lukuki kubeba mataji makubwa.
 
Yaani huu ushauri ungempa Messi angekucheka sana mkuu, hivi unadhani Messi kwenye soccer kwasasa analo la kupoteza?...unataka King Messi atambulike vipi tena kidunia wakati alishajitengenezea ufalme wake?
 
Hivi kutolewa dakika ya 70 kwani tatizo? hivi nyinyi wengine huu mchezo wa mpira mnauchukulia vipi? mchezaji yoyote anaemuona hatolewi uwanjani ana matatizo yake binafsi tu. CR7 ukitaka kumueka bench lazima kocha uandae risala na mabembelezo mpaka aridhike hayo ndio moja yaliomshinda zidane madrid. Yeye ndio kocha lakini kuna wachezaji akiwaeka bench au akiwafanya sub wanakwenda kwa Perez kulalamika. (Ronaldo na Bale). na Allegri hawezi kumtoa wala kumuweka nje Ronaldo.

Haya sikama yeye ndie hafanyi vibaya kwenye mchezo ila ndio hivo tu tena. Hivi mechi ya Jana ya Torino au ya Young Boys kun akipi alichikuwa akikifanya uwanjani Ronaldo cha kumfanya amalize dakika 90? Yeye ndie alikua ndie weakest link kwenye timu kule mbele.
 
S
sasa hivi anakimbilia kupiga penati tu aonekane nae kafunga!
 
Ndio maana Dunia inaamin Messi ni mfalme wa Barca.hakuna anayepingailo nikama Santiago Bernabeu lale Real Madrid. Ila akitaka atambulike kwa levo ya kidunia adhiirishe kwa kuisaidia timu yake ya faifa yenye vipaji lukuki kubeba mataji makubwa.

Wewe sio mfuatiliaji wa mpira na wala humjui King ni nani...eti Dunia inaamini Messi ni mfalme wa Barca! Are you serious!!! Haya maneno ni ya kwako wewe mtanzania....kwa sisi na wale wanaolijuwa soka zaidi yetu wanatambua kuwa huyu ndiye mfalme wa soka duniani, tena kuwahi kutokea. Na ameshamaliza almost majina yote....
 
Yaani huu ushauri ungempa Messi angekucheka sana mkuu, hivi unadhani Messi kwenye soccer kwasasa analo la kupoteza?...unataka King Messi atambulike vipi tena kidunia wakati alishajitengenezea ufalme wake?

Mkuu! Hawa watu bwana wanachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....yani wanajuwa kabisa King Messi hafananishwi na player yeyote yule, wanajuwa kabisa wachezaji wote waliopita na wa sasa sio chochote kwa King Messi. Huenda ni chuki tu zinawasumbua hawa viumbe na si chochote.
 
Ndio maana Dunia inaamin Messi ni mfalme wa Barca.hakuna anayepingailo nikama Santiago Bernabeu lale Real Madrid. Ila akitaka atambulike kwa levo ya kidunia adhiirishe kwa kuisaidia timu yake ya faifa yenye vipaji lukuki kubeba mataji makubwa.
Uwezo binafsi sio timu ya taifa, aisaidie kwani anacheza peke yake ? Kuna final moja Ya uefa Cr7aliumia mapema akiwa na timu yake ya taifa akatoka nje akajifanya kocha
Walivyoshinda eti nae alisaidia timu !!
 
Siku zote huwa nawaambia Attacking midfielder na striker ni vitu viwili tofauti. Huyo ronaldo mumlinganishe na mastriker wenzake yani wamaliziaji, na sio Attaking..ni kumkosea heshima Messi.
Sasa utafungaje bila kushambulia?! Utamaliziaje bila kushambulia?! Unazingua.
 
Kuna mtu nilimwambia hapa tukutane Leo jumatatu ubaoni juu ya nini angekifanya uwanjani cr7 week-end endroit hii na nini angekifanya Messi uwanjani week-end hui nadhani utakua umekubaliana nami nilichokisema na kusisitiza kua Messi Kiwango chake Si cha sayari hii !!
 
3 goals and 1 assist daah, jamaa sio poa alishanifanya kwenda kuangalia mpira usiku saa nne ilihali kesho yake nina necta
 
Sasa utafungaje bila kushambulia?! Utamaliziaje bila kushambulia?! Unazingua.

Tofautisha baina ya mmaliziaji na mkokotaji....Ronaldo anapasiwa then anascore, chenga hajui....King anakokota kijiji kizima + kipa then anascore....hattrick kwake ni kama anapiga penalt...umenielewa Sheikh "magnifico !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…