Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiitajiki kutoka nje ya barca ili kupima ubora wa messi maana tayari ni kingHuyo unayemsifia messi amewahi kutoka nje ya barca ili naye tumpime ubora wake kwa usawa kama mwenzeke aliyeperform vizuri kwenye timu zote alizowahi kuzichezea?
Haiitajiki kutoka nje ya barca ili kupima ubora wa messi maana tayari ni king
Haiitajiki kutoka nje ya barca ili kupima ubora wa messi maana tayari ni king
Ndio maana Dunia inaamin Messi ni mfalme wa Barca.hakuna anayepingailo nikama Santiago Bernabeu lale Real Madrid. Ila akitaka atambulike kwa levo ya kidunia adhiirishe kwa kuisaidia timu yake ya faifa yenye vipaji lukuki kubeba mataji makubwa.Haiitajiki kutoka nje ya barca ili kupima ubora wa messi maana tayari ni king
Yaani huu ushauri ungempa Messi angekucheka sana mkuu, hivi unadhani Messi kwenye soccer kwasasa analo la kupoteza?...unataka King Messi atambulike vipi tena kidunia wakati alishajitengenezea ufalme wake?Ndio maana Dunia inaamin Messi ni mfalme wa Barca.hakuna anayepingailo nikama Santiago Bernabeu lale Real Madrid. Ila akitaka atambulike kwa levo ya kidunia adhiirishe kwa kuisaidia timu yake ya faifa yenye vipaji lukuki kubeba mataji makubwa.
Ni vizuri kuongelea uwezo au kipaji cha mtu sio timu... Yale yale Ya modric, amepewa tuzo na kiatu cha dhahabu yeye mwenyewe anahisi hastahili !
We mchezaji bora wa Dunia Wiki hiyohiyo alioteuliwa unatolewa dakika ya 70? Tena timu yako ipo nyuma kwa magoli..
Mechi nyingine anaanzia benchi.... Ukihoji uwezo wake eti ooh yule timu yake ya taifa na club zilifanya vizuri aah
sasa hivi anakimbilia kupiga penati tu aonekane nae kafunga!Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
S
sasa hivi anakimbilia kupiga penati tu aonekane nae kafunga!
Ndio maana Dunia inaamin Messi ni mfalme wa Barca.hakuna anayepingailo nikama Santiago Bernabeu lale Real Madrid. Ila akitaka atambulike kwa levo ya kidunia adhiirishe kwa kuisaidia timu yake ya faifa yenye vipaji lukuki kubeba mataji makubwa.
Yaani huu ushauri ungempa Messi angekucheka sana mkuu, hivi unadhani Messi kwenye soccer kwasasa analo la kupoteza?...unataka King Messi atambulike vipi tena kidunia wakati alishajitengenezea ufalme wake?
Uwezo binafsi sio timu ya taifa, aisaidie kwani anacheza peke yake ? Kuna final moja Ya uefa Cr7aliumia mapema akiwa na timu yake ya taifa akatoka nje akajifanya kochaNdio maana Dunia inaamin Messi ni mfalme wa Barca.hakuna anayepingailo nikama Santiago Bernabeu lale Real Madrid. Ila akitaka atambulike kwa levo ya kidunia adhiirishe kwa kuisaidia timu yake ya faifa yenye vipaji lukuki kubeba mataji makubwa.
Sasa utafungaje bila kushambulia?! Utamaliziaje bila kushambulia?! Unazingua.Siku zote huwa nawaambia Attacking midfielder na striker ni vitu viwili tofauti. Huyo ronaldo mumlinganishe na mastriker wenzake yani wamaliziaji, na sio Attaking..ni kumkosea heshima Messi.
3 goals and 1 assist daah, jamaa sio poa alishanifanya kwenda kuangalia mpira usiku saa nne ilihali kesho yake nina nectaKuna mtu nilimwambia hapa tukutane Leo jumatatu ubaoni juu ya nini angekifanya uwanjani cr7 week-end endroit hii na nini angekifanya Messi uwanjani week-end hui nadhani utakua umekubaliana nami nilichokisema na kusisitiza kua Messi Kiwango chake Si cha sayari hii !!
Sasa utafungaje bila kushambulia?! Utamaliziaje bila kushambulia?! Unazingua.