Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

3 goals and 1 assist daah, jamaa sio poa alishanifanya kwenda kuangalia mpira usiku saa nne ilihali kesho yake nina necta

Mkuu, sio assist moja...ni 3 goals....2 assist...na amehusika na magoli yote 5.....KING 5-0 LEVANTE!
 
sio lazima ucheze ligi tofauti ndio uonekane bora,siku zote mchezaji anaye dribble mpira ni Mzuri kuzidi anayefunga pasipo ku dribble.Magoli anayefunga messi ni mazuri kuzidi anayefunga wachezaji aina ya akina CR7

Kuna uwezekano ukawa sahihi, lakini pia uwezo wa mchezaji kusurvive kwa kiwango cha juu anapokuwa ameenda mazingira mapya ni Fact muhimu.

Messi tunaweza sema Barca ni comfort zone yake na inambeba ipasavyo, sina maana kwamba siyo bora, ni bora sana, ila hatujawahi kumwona akifanya maajabu anapokuwa nje ya mfumo wake wa Barca.

Kwangu mimi Messi ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu zaidi wakati Ronaldo ana kipaji cha juu kiasi ila ni mchezaji anayejituma zaidi na inamsaidia ku-adapt anapoenda mazingira mapya.
 
Huyo unayemsifia messi amewahi kutoka nje ya barca ili naye tumpime ubora wake kwa usawa kama mwenzeke aliyeperform vizuri kwenye timu zote alizowahi kuzichezea?
Mimi ninachoamini hakuna uwanja wenye urefu tofauti na zingine wala hamna gemu wanacheza zaidi ya wachezaji 11 ivyo Messi wa Barca ni yule yule atakaenda kwingine kwa uwezo ule ule na usifikiri miguu zina mvutano na uwanja au wacheza wa neucamp
 



1-KING LEO
-NO
-NO
-NO
2-MARADONA
3-CR7
4-ALFREDO AND PELE
 

Wabongo mnachekesha sana 😀😀😀😀
 
Watu wanasema sasa hivi ahame ligi ili ajidhihirishe but ndio hao hao walikuwa wanasema messi bila ronaldhino, shavi,iniesta hamna kitu but hao wote wameondoka bado kaendelea kuwa bora sasa hivi wamekimbilia kusema ahame clubs.

Hawa tushawazoea kamanda, so wasikuumize kichwa, wanajuwa kuwa Messi ndiye baba wa soka kuwahi kutokea...ila chuki tu zinawasumbua.
 
Uwezo binafsi sio timu ya taifa, aisaidie kwani anacheza peke yake ? Kuna final moja Ya uefa Cr7aliumia mapema akiwa na timu yake ya taifa akatoka nje akajifanya kocha
Walivyoshinda eti nae alisaidia timu !!
Ukiwa wewe ni SuPerStar katika mchezo wowote unao usisha mchezaji zaidi ya mmoja lawama zinakuja kwako kwakua wewe ndie Nyota.Mess , CR7, Pogba , Hazard. Nawengine wengi wanabeba lawama kama timuzao zikifanya vibaya kwakua wao ndio Nyota wa timu husika.Kama Mess anataka kuwa Mfalme zaidi ya pale Barca basi Atuonyeshe kwenye Levo ya kidunia kwenye kombe la Dunia au Copa Amerika kama alivyofanya Diego Maradona. Maradona alikua aki ibeba Napoli na Argentina ndio maana akwa Mfalme wa Soka anaye tambulika kidunia. Mess akuna anaye bisha ni Mfalme wa Barcelona na La Liga ili sisi atuna cha kubisha.
Wakati akiwa Barca, makocha ambao timuzao zinacheza dhidi yake wanamhofia tofauti akiwa na timuyake ya taifa ambayo yeye ni Captain Makocha wa mataifa pinzani na Argentina wanamuona wakawaida na anadhibitiwa kiulaini.
 
sio lazima ucheze ligi tofauti ndio uonekane bora,siku zote mchezaji anaye dribble mpira ni Mzuri kuzidi anayefunga pasipo ku dribble.Magoli anayefunga messi ni mazuri kuzidi anayefunga wachezaji aina ya akina CR7
Sijawai ona pumba kama hii
 
Siku zote huwa nawaambia Attacking midfielder na striker ni vitu viwili tofauti. Huyo ronaldo mumlinganishe na mastriker wenzake yani wamaliziaji, na sio Attaking..ni kumkosea heshima Messi.
Wewe kacheze pubg soka huwezi
 
Wachezaji bora huwa hawahami timu. Pele alihama Santos akiwa na miaka kama 34 huko.Akaenda kustafia US. Ronaldo kaondoka Madrid baada ya kulalamikiwa kiwango kushuka.
Pele na yeye alifanya vizur kisa alicheza ligi mbovu
 
Messi kaifikisha Argentina kombe la Dunia, kachukua mchezahi bora kombe la dunia. Guko ni kuibeba tosha. Au unafikiri kufika fainali kombe la Dunia ni jambo dogo?
 
Watu wanasema sasa hivi ahame ligi ili ajidhihirishe but ndio hao hao walikuwa wanasema messi bila ronaldhino, shavi,iniesta hamna kitu but hao wote wameondoka bado kaendelea kuwa bora sasa hivi wamekimbilia kusema ahame clubs.
Hawana point mkuu. Hivi zile free kick anapiga Messi akienda timu zingine atashindwa vipi kuzipiga?
 
Hawana point mkuu. Hivi zile free kick anapiga Messi akienda timu zingine atashindwa vipi kuzipiga?

Mpaka sasa King wa dunia kishapiga 43rd hattrick and 6 za Argentina=49 Hattrick!

Brazil 3
Ecuador 3
Switzerland 3
Panama 3
Guatemala 3
Haiti 3

 
wote messi na CR7 wanacheza na wachezaji wazuri,ukianza na CR7 toka akiwa mana inajulikana kabisa man ni timu kubwa na wachezaji wake ni classic hivyo ivyo kwa messi.CR 7 kujituma zaidi kuliko messi ndio maana halisi ya neno kipaji,mwenye kipaji halisi atajituma kidogo na mwenyekipaji cha kawaida atajituma sana.
kinacho mbeba CR ni ufungaji wa magoli tu,hana cha ziada katika mpira tofauti na mwnzie messi
 
Hivi unafikili Messi kwa uwezo aliojaaliwa atashindwa ku shine akijiunga na
PSG
MAN CITY
BAYERN
???????????
 
Mimi ninachoamini hakuna uwanja wenye urefu tofauti na zingine wala hamna gemu wanacheza zaidi ya wachezaji 11 ivyo Messi wa Barca ni yule yule atakaenda kwingine kwa uwezo ule ule na usifikiri miguu zina mvutano na uwanja au wacheza wa neucamp

Ohoooo,ndio aende sasa ili na sisi tusiomkubali tuamini na tumkubali,hatujawahi kumuona akiperform vile vile nje ya mazingira aliyoyazoea,huku kulazimishana nimkubali wakati sijawahi kumuona huko kwingineko kamwe siwezi kumkubali mkuu.

Kama anajiamini anaweza kufanya vizuri nje ya barca amove basi ili tumpe uchezaji bora wa dunia ambao haujawahi kutokea tokea Dunia iumbwe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…