Ukiwa wewe ni SuPerStar katika mchezo wowote unao usisha mchezaji zaidi ya mmoja lawama zinakuja kwako kwakua wewe ndie Nyota.Mess , CR7, Pogba , Hazard. Nawengine wengi wanabeba lawama kama timuzao zikifanya vibaya kwakua wao ndio Nyota wa timu husika.Kama Mess anataka kuwa Mfalme zaidi ya pale Barca basi Atuonyeshe kwenye Levo ya kidunia kwenye kombe la Dunia au Copa Amerika kama alivyofanya Diego Maradona. Maradona alikua aki ibeba Napoli na Argentina ndio maana akwa Mfalme wa Soka anaye tambulika kidunia. Mess akuna anaye bisha ni Mfalme wa Barcelona na La Liga ili sisi atuna cha kubisha.
Wakati akiwa Barca, makocha ambao timuzao zinacheza dhidi yake wanamhofia tofauti akiwa na timuyake ya taifa ambayo yeye ni Captain Makocha wa mataifa pinzani na Argentina wanamuona wakawaida na anadhibitiwa kiulaini.