Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

Messi alishawahi kugoma kutoka uwanjani unakumbuka hili?? tetesi za kupanga kikosi cha Barca pia ushawahi kuzisikia

hiyo ndiyo kadhia ya wachezaji wakubwa
 
Ndugu kikubwa uwezo !!! Wewe hapo shughuli unazofanya na umaahiri wako hapo ulipo Je utapungua ukihamia Mwanza ? Au Arusha ? Au Lindi ?
 
U are so smart mkuu,umemjibu vizuri sana
 
Mbona andunje game kibao anapotea
 
Ndugu kikubwa uwezo !!! Wewe hapo shughuli unazofanya na umaahiri wako hapo ulipo Je utapungua ukihamia Mwanza ? Au Arusha ? Au Lindi ?

He!

Hilo nalo ni la kuuliza mkuu?

Kama mazingira yatafanana kwa kila kitu zitafanikiwa na kinyume chake hazitafanikiwa
 
Kocha wa Arsenal ๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† cha ajabu mbongo atampinga hata huyu, na ndiye anaujuwa mpira kuliko MBONGO mwenyewe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Messi alishawahi kugoma kutoka uwanjani unakumbuka hili?? tetesi za kupanga kikosi cha Barca pia ushawahi kuzisikia

hiyo ndiyo kadhia ya wachezaji wakubwa

Sasa kuna jamaa zetu wengine humu hawafahamu kabisa hayo.
 
Ivi cr7 kuna kipi ambacho hajakifanya kweny soka ili kuprove wrong madai kama yako!!?? Huu mda wake kula pensheni. Huyo messi mwambieni ahame kwanza barca ndo tumlinganishe na 'the beast'
 
King Messi atawasababishia CANCER mwisho....wanaojuwa mpira wanamtambua huyu ndiye the king haswaa, Sasa wewe mbongo wa tandale sijui usukumani huko unaefatilia yanga na simba utatueleza nini!!! Watanzania bana, wanafurahisha sana.
 
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu
 
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu

Tumeshawazoea hawa watu...hawakosagi visababu kamanda ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ wao wanaleta uyanga na usimba kwenye vitu serious! Acha magufuli aendelee kutunyoosha kwakweli ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu

Acheni chuya zijitenge na mchele nyie mashabiki wa messi msio na hoja.

CR7 kachukua vikombe vyote unavyovijua wewe akiwa na Manchester na Madrid,hakuacha hata kimoja.

Utamfananisha na aliyechukua vikombe vyote huyo messi wenu akiwa kwenye timu moja tu?

CR7 ametuthibitishia kuwa yeye popote pale ni bora na sio katika timu moja tu

Acheni kumfananisha CR7 na vitu vya kijinga jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ