The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Wote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa.
Actually, maisha yako tight sana huku kitaa. Watu wanahangaika sana, wangakula vumbi usiku na mchana mithili ya nyoka hawajui kesho itakuwaje.
Ila amini nawaambieni kwamba, vitendo ya namna hii tunavyoonyeshwa na matajiri vinawacost na vitaendelea sana kuwacost makapuku sasa na siku zijazo.
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kutolea mfano wa namna watu wananunua maV8/ kila siku huku akipinga swala la wananchi kuwa na maisha magumu.
Nikimalizia nitoe rai kuwa fanya kila kitu uwezacho; ua, loga sana, sali sana ila utajiri unasiri nyingi nyuma ya pazia. Huwezi kutajirika kule kwa kufanya kazi pekee ila chamoto mtakiona.
Tanzania ni tajiri.