The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
"Hii iinchii ni taaajiliii"Tanzania ni tajiri.
Maana halisi ya neno "bongo nyoso" ndiyo hii sasa.Bongo bhana,
Ukiwa masikini utasemwa na ukiwa tajiri pia utasemwa!
Ndio maana sasa hivi kuna wanaume wa kanda ya ziwa na wa Dar wanabishana kuhusu utajiri wa wanaume wenzao,utajiri ambao wao hauwahusu chochote!
The confession of the Economic HitmanWote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa.
Actually, maisha yako tight sana huku kitaa. Watu wanahangaika sana, wangakula vumbi usiku na mchana mithili ya nyoka hawajui kesho itakuwaje.
Ila amini nawaambieni kwamba, vitendo ya namna hii tunavyoonyeshwa na matajiri vinawacost na vitaendelea sana kuwacost makapuku sasa na siku zijazo.
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kutolea mfano wa namna watu wananunua maV8/ kila siku huku akipinga swala la wananchi kuwa na maisha magumu.
Nikimalizia nitoe rai kuwa fanya kila kitu uwezacho; ua, loga sana, sali sana ila utajiri unasiri nyingi nyuma ya pazia. Huwezi kutajirika kule kwa kufanya kazi pekee ila chamoto mtakiona.
Tanzania ni tajiri.
Nimeona machawa wa dar wame mindBongo bhana,
Ukiwa masikini utasemwa na ukiwa tajiri pia utasemwa!
Ndio maana sasa hivi kuna wanaume wa kanda ya ziwa na wa Dar wanabishana kuhusu utajiri wa wanaume wenzao,utajiri ambao wao hauwahusu chochote!
Nakubaliana na wewe hii ni biashara nzuri Nina uzoefu nayo japo nilifirisika mchawi mtaji tuNafikiri fursa iliopo kubwa hapa katoro ni kujenga pub ya high class ili wazinzi na wazee wa anasa na hawa malaya kutoka dar na mikoani uwafanye kuwa fursa
Yani wewe una ingiza pesa wakati wao wanapata fangasi
Utajiri sio jitihada, utajiri ni siri na kuishi ndani ya siri za kutishaWote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa.
Actually, maisha yako tight sana huku kitaa. Watu wanahangaika sana, wangakula vumbi usiku na mchana mithili ya nyoka hawajui kesho itakuwaje.
Ila amini nawaambieni kwamba, vitendo ya namna hii tunavyoonyeshwa na matajiri vinawacost na vitaendelea sana kuwacost makapuku sasa na siku zijazo.
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kutolea mfano wa namna watu wananunua maV8/ kila siku huku akipinga swala la wananchi kuwa na maisha magumu.
Nikimalizia nitoe rai kuwa fanya kila kitu uwezacho; ua, loga sana, sali sana ila utajiri unasiri nyingi nyuma ya pazia. Huwezi kutajirika kule kwa kufanya kazi pekee ila chamoto mtakiona.
Tanzania ni tajiri.
Hatari sana ,sijawahi kuona tajiri anafanya show-off kama zile ,kuna watu wana mizigo lakini hauwezi kuona akifanya upumbavu wa namna ile.....Wenye mizigo unaona tu kwenye investiments.Wote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa.
Actually, maisha yako tight sana huku kitaa. Watu wanahangaika sana, wangakula vumbi usiku na mchana mithili ya nyoka hawajui kesho itakuwaje.
Ila amini nawaambieni kwamba, vitendo ya namna hii tunavyoonyeshwa na matajiri vinawacost na vitaendelea sana kuwacost makapuku sasa na siku zijazo.
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kutolea mfano wa namna watu wananunua maV8/ kila siku huku akipinga swala la wananchi kuwa na maisha magumu.
Nikimalizia nitoe rai kuwa fanya kila kitu uwezacho; ua, loga sana, sali sana ila utajiri unasiri nyingi nyuma ya pazia. Huwezi kutajirika kule kwa kufanya kazi pekee ila chamoto mtakiona.
Tanzania ni tajiri.
Umeandika nini sasa.Wote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa.
Actually, maisha yako tight sana huku kitaa. Watu wanahangaika sana, wangakula vumbi usiku na mchana mithili ya nyoka hawajui kesho itakuwaje.
Ila amini nawaambieni kwamba, vitendo ya namna hii tunavyoonyeshwa na matajiri vinawacost na vitaendelea sana kuwacost makapuku sasa na siku zijazo.
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kutolea mfano wa namna watu wananunua maV8/ kila siku huku akipinga swala la wananchi kuwa na maisha magumu.
Nikimalizia nitoe rai kuwa fanya kila kitu uwezacho; ua, loga sana, sali sana ila utajiri unasiri nyingi nyuma ya pazia. Huwezi kutajirika kule kwa kufanya kazi pekee ila chamoto mtakiona.
Tanzania ni tajiri.
Wote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa.
Actually, maisha yako tight sana huku kitaa. Watu wanahangaika sana, wangakula vumbi usiku na mchana mithili ya nyoka hawajui kesho itakuwaje.
Ila amini nawaambieni kwamba, vitendo ya namna hii tunavyoonyeshwa na matajiri vinawacost na vitaendelea sana kuwacost makapuku sasa na siku zijazo.
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kutolea mfano wa namna watu wananunua maV8/ kila siku huku akipinga swala la wananchi kuwa na maisha magumu.
Nikimalizia nitoe rai kuwa fanya kila kitu uwezacho; ua, loga sana, sali sana ila utajiri unasiri nyingi nyuma ya pazia. Huwezi kutajirika kule kwa kufanya kazi pekee ila chamoto mtakiona.
Tanzania ni tajiri.
Unaweza ukawa na pesa alafu ukawa mshamba na ulimbukeni pia.Ni Africa tu ndio watu wakimaliza shida zao wanaanza kuchezea pesa kwa kufanya mambo ya kipumbavu.
Rangi nyeupe hapa ndipo huwa wanatuacha kwasababu wakati wao wakimaliza shida zao zote wanaanza kujenga mifumo ambayo hata wajukuu zao kizazi cha 4 wataikuta na itaendelea kuwalea na kuwatajirisha vizazi 4 vingine in the future.
Hawa akina Trump, Rothschild family, Rolex, etc hadi wanakuwa na mautajiri yasiyo na mwisho ni matokeo ya kujenga system ambayo inawabenefit wao na jamii.
Sasa mtu anakwenda kupanga magari sijui 100 anajaza mafuta,anawalipa madereva, analipia helicopter,magarama yote haya ila huwezi kuta amekuwa Philanthropist kwenye jamii yake au hata kuwa Charity financier au donor wa maendeleo ni kuendekeza tamaduni za kipuuzi za kuonekana una mali na unajua kuzitapanya.
Hiyo pesa angesema nifungue mfuko maalumu wa kusaidia miradi ya maendeleo around lake Victoria au kufungua tu mfuko wa kuboost vijana kibiashara kwa riba ndogo sana muda mzuri wa marejesho am sure angekuwa ametupunguzia sana kadhia ya kusubiri donor countries kuja kutupa sapoti.
Huu ndio ufala wa sisi watu weusi. Tunaishia kubakia kuwa Rich people but never wealthy people.