Ule UKWASI unaoonyeshwa kule katoro utawagharimu sana wananchi wa kawaida

Hao wameamua kuonyesha nadhani ndio maana mnawajadili ila huko Chunya Mbeya ni habari ingine kabisaa vijana wamekumbatia hela aisee..
 
Naona sasa iwe rasmi kuwa “Utajiri una Siri nyingi”
Yaani haya ni maneno ya kimasikini sana ila wengi wanaosema huu msemo wako hoi mbaya
Pambaneni aisee
Mtu anafanikiwa kwa bidii zake anaambiwa kuna siri
Kweli ni siri maana amepambana
Yupo anaeuza karanga au kahawa mitaani kwa miaka 20 ila bado yupo pale pale, na yupo katika miaka hiyo 20 kwa kazi tofauti akawa katoboa mbali

Hatuwezi kusema kuwa wote tumepata kwa ndagu au kuuwa
MO juzi juzi kachukua mkopo wa USD 37 kutoka afdb na anaendeleza biashara zake
Kila mmoja atafute kwa akili
wewe huwajui Fundi cherehani wamezeeka na cherehani zao na leo wanakuomba buku?
Sasa miaka yote hiyo tangu udogo wako unamuona mpaka anazeeka je huoni shida hapo
 
Furahia maisha, Wapo matajiri Kwa uwezo wa Mungu,wa kurithi,wa kishetani pia upo!
 
Binafsi naona kama ni programmed movie,jambo lililopangwa kwa muda mrefu sana,pia nadhani hata baadhi ya tambo pale,kama magari naamini mengi yamekodiwa,japo ni kweli huenda ilikuwa ni sendoff party,lakini vitu vingi madhani vilikodiwa kama helicopter na kadhalika...
 
Waache watumie pesa watakavyo pesa si wametafuta wenyewe
Acha watumie wajuavyo wenyewe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…