Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Duuuh! Watu mna changamoto aisee ๐ค
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache mazingira yenyew tunayoyapita magumu utaachaje kua na changamotoDuuuh! Watu mna changamoto aisee ๐ค
Umesema vyemaTuache mazingira yenyew tunayoyapita magumu utaachaje kua na changamoto
Kwer chief ayo mafuta wanasema kupaka kwani naenda kua stage show๐๐Umesema vyema
Naomba kuwashukuru kwa mchango wenubwa mawazo sasa jana hiyohiyo nimeanza tiba Leo Hali inaendelea vyema ๐Mbarikiwe sanaJamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.
Ila si unapasafisha vizuriKwer chief ayo mafuta wanasema kupaka kwani naenda kua stage show๐
Boxer huwa sivai joto napiga jeans zile zenye nafasi kubwaIla si unapasafisha vizuri
Vipi huwa unavaa boksa safi na kavu?
Umecheki STDs?
Wazee wa pond pale Pugu boys tunaipata hii vyema, mtambo wa fungusHiyo huitwa PUMBU JERO(jina la kitaani),inatokea San hasa kama unaoga maji ya chumvi au mda mwingine ambayo hata siyo ya chumvi?
Hii hutokea maeneo hayo kwasababu ya kutokujifuta vinzur baada ya kuoga maeneo hayo,,.
Kumbuka ktk KORODANI wakati unaoga Ile ngozi yake Huwa inajikunja hivyo usipofuta vinzuri Huwa inabaki na unyevunyevu Kwa mda fulan hali hiyo hupelekea kuharibu ngozi especially maji ya chumvi
Tiba yake uwe unajipaka mafuta ngozi yenyewe itaanza kulainika pia uwe unajifuta vinzur baada ya kuoga.
Hii imetutesa San enzi hizo tunasoma shule hasa za boarding
njo ubuguje zangu kama kibogoyoWatu mnanyonya kende aah!
Huku nyanguge debe ni 200kNdo mana mama anasema uoe kaka
Yani puumbu size ya nyanya sema unga kilo nane
Hasa ya Nazi ni futa frani barikiwa ila watu hawajui tuu ๐ค๐ me toka nipate akili zangu hunikosi na futa la nazi hasa la kupika mwenyewe ila hata parachuti ni mazuri.๐Mafuta mafuta kila sehemu mafuta khaaa ๐ค๐ค๐ค๐
Nunua virgin coconut oil ukipata extra mazuri zaidiHasa ya Nazi ni futa frani barikiwa ila watu hawajui tuu ๐ค๐ me toka nipate akili zangu hunikosi na futa la nazi hasa la kupika mwenyewe ila hata parachuti ni mazuri.๐
Shenzi kabisa๐๐๐๐๐๐๐๐๐Hasa ya Nazi ni futa frani barikiwa ila watu hawajui tuu ๐ค๐ me toka nipate akili zangu hunikosi na futa la nazi hasa la kupika mwenyewe ila hata parachuti ni mazuri.๐
Shenzi kabisa๐๐๐๐๐๐๐๐๐Hasa ya Nazi ni futa frani barikiwa ila watu hawajui tuu ๐ค๐ me toka nipate akili zangu hunikosi na futa la nazi hasa la kupika mwenyewe ila hata parachuti ni mazuri.๐
Watu wamevurugwa kwer๐Shenzi kabisa๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Wee kijana hovyo siseee
Ha ha dah umemkandia sanaFungus vaa be boxer za cotton sio mpira yaani polyester na zisikubane pia zingatia usafi nyoa minywele ya huko mara kwa mara sio ikae mpaka ijisokote nawa vizuri ukinya hata kukojoa kuwa na tissue ujikaushe pakaa cream za antifungal utapata pharmacy pia pakaa mafuta ya Nazi ukitoka kuoga jikaushe upakae fua taulo mara kwa mara.
Mwanaume mchafu kwangu hapana mwanaume nikiona muonekano wake kiatu mkanda wallet boxer perfume saa najua msafi,jamaa utakuwa unanuka sana makende yake dadek Dem wako kazi anayo [emoji23]utakuta unapenda sana unyonywe kende zako zilambwe wanaume nao wananuka ukute vuzi jasho fungus uchafu hafui boxer ni uvundo wa mzoga.
๐๐๐๐Awa madaktari wangu kwer kwerHa ha dah umemkandia sana