Hiyo huitwa PUMBU JERO(jina la kitaani),inatokea San hasa kama unaoga maji ya chumvi au mda mwingine ambayo hata siyo ya chumvi?
Hii hutokea maeneo hayo kwasababu ya kutokujifuta vinzur baada ya kuoga maeneo hayo,,.
Kumbuka ktk KORODANI wakati unaoga Ile ngozi yake Huwa inajikunja hivyo usipofuta vinzuri Huwa inabaki na unyevunyevu Kwa mda fulan hali hiyo hupelekea kuharibu ngozi especially maji ya chumvi
Tiba yake uwe unajipaka mafuta ngozi yenyewe itaanza kulainika pia uwe unajifuta vinzur baada ya kuoga.
Hii imetutesa San enzi hizo tunasoma shule hasa za boarding