Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Ni maambukizi ya fangasi
"Jock itch"ambayo husababishwa na kundi la fangasi wanaoitwa dermatophytes.

MATIBABU
Jock itch inaweza kutibiwa kwa krimu moja kati ya zifuatazo;
Sonaderm /Gentrisone /Skiderm/Acrason.....

Pakaa kwenye eneo lililoathirika mara mbili kwa siku (asubuhi na jioni) kwa muda wa wiki mbili hadi nne.

Ni muhimu pia kuweka ngozi yako safi na kavu, haswa katika maeneo hayo.
Vaa chupi safi za pamba ambazo hunyonya unyevunyevu na rahisi kupiga pasi kuua vimelea vya maambukizi kuunganisha na za nylon.

KUMBUKA
Kuvaa nguo zisizobana, hasa katika hali ya hewa ya joto na unyevunyevu ili kuzuia jasho kuunda mazingira ya joto na unyevu ambamo fangasi hustawi.
 
Tumia dawa ya mba ya maji, ina rangi ya kijani bei yake haizidi 3000; baada ya kumaliza dozi na baada ya kuoga uwe unapaka matuta (lotion ya wanaume), usipaache pawe pakavu.
 
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.

Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.

Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.

Msaada wenu tafadhari.
SUPER GLUE
 
Back
Top Bottom