Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pumbu Erossion[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pumbu Erossion[emoji1787]
😂😂😂😂Sasa sembe likaja vp apoMimi niliumwa huo ugonjwa nliumwa DEPO OP MKAPA
Hii show yake aiseee so poa naiheshumu sana daaahHii haitafanya kazi kwa haraka, kwa sababu hii inahusiana na vipele
Unaona sasa 👆Hii haitafanya kazi kwa haraka, kwa sababu hii inahusiana na vipele
Inafanya kazi vizuri hasa kwenye 'scabies'; vipele vya pumbb, sehemu za mikunjo ya mwili n.kHii show yake aiseee so poa naiheshumu sana daaah
Sawa sawa mkuu upo vizuriInafanya kazi vizuri hasa kwenye 'scabies'; vipele vya pumbb, sehemu za mikunjo ya mwili n.k
Ila akitumia inaweza kutibu, ni sawa na mwingine kutumia panadol, paracentamol, asprin n.k katika kutuliza maumivuSawa sawa mkuu upo vizuri
Hapana ni yeye aliambiwa mtaalam kama mchumba wako kapewa ushauri usisemeMmmmh unaonekana mtaalam wa mmbo
Nimchafu haogi huko akifika huko anakimbia hadi pppp zimeungua zoteNyoa vuzi lote safisha Hilo eneo na sabuni yenye maji moto alafu vaa boksa mpya asee
Hukuna dawa zaidi ya usafi hasa sehemu husikaJamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.
😂😂Nimchafu haogi huko akifika huko anakimbia hadi pppp zimeungua zote
Namuuliza mtabibu kuhusu erossion kabaki kucheka😂😂Pumbu Erossion🤣
Huo mzigo ni shida 🤣 hata mtabibu mwenyewe kipindi yuko Galanos kiliumana 😀😀😀 lazma acheke.Namuuliza mtabibu kuhusu erossion kabaki kucheka😂😂
Huu sasa unanukaNenda kule Kisumu Kenya wanahitaji hiyo bidhaa , unga