Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Ushaur tuu mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ vijana wa hovyo ndo wenyew madini dingoo halafu mimi ni Binti mkuu .
Sasa we bint unaandika nyota ya jaah hii kitaalam tunaiitaje usaliti wa chama cha wanawakeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Aiseeeeeee ushauri gani huo mbona wa ajabu ajabuu
Ufate kabla ya kuupinga , kende zipate pumziko wa pumbu jero πŸ˜ŽπŸ˜œπŸ˜„
 
Duuh hadi ww
 
uko wqp picha kwanza
 
Haya bana kwaiyo penzi langu ndo umenigomea? πŸ˜”πŸ˜’πŸ˜­.

Nikubalie basi tupeane mautamu 😜😝
I am loyal to my marriage tafuta mtu mpeane utamu πŸ˜‚πŸ˜maana Kwa mume wangu naupata .
 
I am loyal to my marriage tafuta mtu mpeane utamu πŸ˜‚πŸ˜maana Kwa mume wangu naupata .
Hutaki kubadili ladha πŸ˜€ sio kila siku ule wali maharage tu siku nyingine hata ndizi mshare zinafaa ujue 😁
 
Unga wa nini huo?
 
Umesema unga? Pika ugali usio na gharama ugonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…