Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Ushaur tuu mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ vijana wa hovyo ndo wenyew madini dingoo halafu mimi ni Binti mkuu .
Sasa we bint unaandika nyota ya jaah hii kitaalam tunaiitaje usaliti wa chama cha wanawakeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Aiseeeeeee ushauri gani huo mbona wa ajabu ajabuu
Ufate kabla ya kuupinga , kende zipate pumziko wa pumbu jero πŸ˜ŽπŸ˜œπŸ˜„
 
Fungus vaa be boxer za cotton sio mpira yaani polyester na zisikubane pia zingatia usafi nyoa minywele ya huko mara kwa mara sio ikae mpaka ijisokote nawa vizuri ukinya hata kukojoa kuwa na tissue ujikaushe pakaa cream za antifungal utapata pharmacy pia pakaa mafuta ya Nazi ukitoka kuoga jikaushe upakae fua taulo mara kwa mara.

Mwanaume mchafu kwangu hapana mwanaume nikiona muonekano wake kiatu mkanda wallet boxer perfume saa najua msafi,jamaa utakuwa unanuka sana makende yake dadek Dem wako kazi anayo πŸ˜‚utakuta unapenda sana unyonywe kende zako zilambwe wanaume nao wananuka ukute vuzi jasho fungus uchafu hafui boxer ni uvundo wa mzoga.
Duuh hadi ww
 
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.

Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.

Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.

Msaada wenu tafadhari.
uko wqp picha kwanza
 
Haya bana kwaiyo penzi langu ndo umenigomea? πŸ˜”πŸ˜’πŸ˜­.

Nikubalie basi tupeane mautamu 😜😝
I am loyal to my marriage tafuta mtu mpeane utamu πŸ˜‚πŸ˜maana Kwa mume wangu naupata .
 
Hutaki kubadili ladha πŸ˜€ sio kila siku ule wali maharage tu siku nyingine hata ndizi mshare zinafaa ujue 😁
 
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.

Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.

Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.

Msaada wenu tafadhari.
Unga wa nini huo?
 
Umesema unga? Pika ugali usio na gharama ugonge!
 
Back
Top Bottom