Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Kaka umetembea na mwanamke mwenye ugonjwa wa fungus (candida albicans), dawa yake ni antifungal na usirudi tena kwa yule mwanamke hadi wewe na yeye mjitibie wote mpone. Na kama kuna wanawake wengine umetembea nao ukiwa na hali hiyo pia waambie waende wakatibiwe pia kabla hujatembea nao tena.
 
na wakat wa kumaliza kukojoa tutumie tissue???????
 
1. Sabuni unayoogea
2. Mafuta au Lotion unayoyapaka
3. Boxer unazovaa
4. Usafi wa mwili unaoga Mara ngapi kwa siku?
5. Usafi wa boxer unazovaa hua unavaa Mara ngapi kabla ya kufua?

Kaitafute kwenye hayo Mambo hapo
 
Nyoa vuzi ukioga kukojoa kunya jikaushe hata na tissue tembea nazo mfukoni pakaa Vaseline yako au Coconut oil kuzuia moisturizer (unyevunyevu)kukaa kwenye ngozi maana fungus (candida)wanapenda kwenye maji maji unyevunyevu vaa boxer pana na cotton sababu cotton inaingiza hewa tofauti na mpira polyester wekeza kwenye goog quality boxer achana na boxer za majani ya bangi na wanaume tmk 😁
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana hapo kwenye pumbu jeroo.
aloooooo usiombe hii ikupate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…