Ule usemi nabii hakubaliki kwao: Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika

Ule usemi nabii hakubaliki kwao: Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika

Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika
  • 17 Julai 2018
Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp
Image copyrightAFP
_102558796_c43e687d-3d2a-404a-8754-d1a43f151f71.jpg

Image captionWakosoaji wanasema amepunguza nafasi ya raia kujieleze kwa uhuru
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi.

Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais Magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi hasaa katika ukuaji wa miundo mbinu.

Hii ni mara ya pili kwa kiongozi wa Tanzania kupata tuzo hii, baada ya Mwalimu Julius Nyerere kutuzwa pia kutokana na mchango wake wa kuleta uhuru katika nchi za Afrika.

Mwebesa Rwebugia ameeleza kuwa, katika kuegemea kwenye muktadha wa uchumi, kamati iliangalia umaskini ambao unatajwa kuwa adui mkubwa anayefahamika, lakini pia maradhi na ujinga.

Kwa mujibu wa kamati hiyo ya Tuzo ya Ukombozi wa Afrika, ukombozi katika kipengelee cha elimu huangazia elimu na ujinga kama sehemu ya ukombozi.

Tanzania imetolewa mfano wa elimu ya bila malipo kutoka kutoka shule za msingi mpaka sekondari.

_102558795_217d87b1-6af8-463c-81cf-5fa1e5c87e85.jpg

Image captionJulius Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa katika mataifa ya Afrika kujipatia uhuru.
Katika suala la umaskini, kamati imeangalizia hatua ya kuwajali watu wa kipato cha chini, ukitolewa mfano wa kusajiliwa kwa 'machinga' katika kuwatambua rasmi kwa shughuli zao, na pia kuondolewa kodi za mazao kwa wananchi.

Lakini sio kila mtu amepokea vyema ushindi huu wa rais Magufuli kutokana na kwamba kiongozi huyo hajakamilisha hata miaka mitano tangu aingie madarakani.

Wakosoaji wanasema amepunguza nafasi ya raia kujieleze kwa uhuru.

Na serikali yake imekosolewa kwa hatua za kuvizima vyombo vya habari na kinachotajwa kama kuvikandamiza vyama vya upinzani.

Mambo matano unayoyahitaji kuwa bilionea

Obama aikumbuka safari yake ya kwanza nchini Kenya

'Rais magufuli hakutazamwa kwa muda aliyoingia madarakani lakini tangu miaka 20 iliyopita. Tangu alipokuwa wizara ya ujenzi na mawasiliano na nyingine tofauti, mpaka kufikia hadi ya kuwa rais wa taifa. Je ni mambo gani aliyoyafanya?' Amefafanua Rwebugia.

Mnamo 2016 Magufuli alishinda tuzo ya Forbes Africa kwa kuwa mtu anayeheshimika zaidi - na aliteuliwa kwa kutambulika jitihada zake za "kushinikiza uchumi wa Tanzania".

Viongozi wengine walioishinda Tuzo ya Ukombozi:
Tuzo ya Ukombozi Afrika inatambuliwa barani Afrika na Kimataifa lengo lake ni kutambua mchango wa viongozi wa bara la Afrika , wapigania uhuru, wapatanishi wa amani na washiriki wengine wa Ukombozi wa Afrika.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni mwishoni mwa mwaka jana aliwahi kuteuliwa mshindi na kamati inayoratibu Tuzo hiyo ya Ukombozi Afrika.

Ushindi wake Museveni ulitangazwa baada ya kamati hiyo kuketi mwezi Oktoba, 2017 na kujiridhisha kupitia vigezo vilivyowekwa kuwa kiongozi huyo anakidhi vigezo vyote.

Image copyrightGETTY IMAGES
_102558797_e5ff76e9-70a8-4193-b287-890628a9211d.jpg

Alitambuliwa miongoni mwa mengine kwa mchango wake mkubwa wa kipekee alioutoa katika kusimamia amani katika nchi zilizokumbwa na migogoro ya ndani Somalia, Jamhuri ya Kidmeokrasi ya Congo na Burundi.

Vigezo vinavyozingatiwa pia ili kuteuliwa mshindi ni pamoja na mchango wa kiongozi katika ukombozi wa taifa kutoka tawala dhalimu miaka ya nyuma.

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 17.07.2018

Viongozi wengine waliowahi kuishinda tuzo hiyo ni pamoja na Mwalimu Julius Nyerere wa Tanzania na Kenneth Kaunda wa Uganda ambao walitunukiwa tuzo hiyo mwaka 2014.

Rais Magufuli sasa anatarajiwa kupokea medali na cheti katika tarehe rasmi itakayotangazwa na kamati baada ya maridhiano kati ya mgeni rasmi na watu wa itifaki.
Kama Mu7 ameshinda hiyo tuzo basi quality ya hio tuzo iko chini sana
 
Museveni alishawahi kuchukua hio tuzo.
Jiulize..
Next time atachukua Kagame na Mugabe. Na wale wasudani wawili wale nao wtaichukua
Wale wasudi wawili, wanaitwa Salva Kiir na Riek Machar wanaigiza movie zao za kirambo kule ndo maana hawavuagi zile kofia zao za kicowboy.
 
As you can see for yourself the details are not really details but my best guess is M7 and the comrade, Uncle Bob.


Khaaa!, really?!, Heheheh!, OK
Thanks for Info Jirani! 😀

I guess they chose to speak for us. It's like we'll automatically like and take whatever they like and want. Sijui akili za wapi wallah!
But they should not call it, 'TUZO YA UKOMBOZI AFRIKA'. That means we all agree with it.
They should call it, 'TUZO YA UKOMBOZI YAO.
M'7, M'gabbage, M'kufuli.

3Ms. Awards
 
Khaaa!, really?!, Heheheh!, OK
Thanks for Info Jirani! 😀

I guess they chose to speak for us. It's like we'll automatically like and take whatever they like and want. Sijui akili za wapi wallah!
But they should not call it, 'TUZO YA UKOMBOZI AFRIKA'. That means we all agree with it.
They should call it, 'TUZO YA UKOMBOZI YAO.
M'7, M'gabbage, M'kufuli.

3Ms. Awards
Is this really you Nalendwa or has your acc. ben hacked? Its very fishy on all accounts though. Something is up.
 
Is this really you Nalendwa or has your acc. ben hacked? Its very fishy on all accounts though. Something is up.


Hahah! 😀
This's Me, Myself and I jirani...lol

Kweli kabisa. It's like they were bored, decided to play a game, and viola!...came up with the so called "AWARDS GAME"
They be playing with us these people, not fun. 🙂
 
Hahah! 😀
This's Me, Myself and I jirani...lol

Kweli kabisa. It's like they were bored, decided to play a game, and viola!...came up with the so called "AWARDS GAME"
They be playing with us these people, not fun. 🙂
Not fun at all. Awards game? Haha you got no chills today. 😀
 
Stupid soul.
Democracy provides checks and balances.
Democracy safeguards wealth and development.
No point getting wealthy like Libya, then losing it all in a one week revolution.
People will never fight or destroy their country to remove a democratically elected president.

You gave got it all wrong. The whole world knows how some Libyans were coaxed to betray their leader. It happened in Congo with the assassination of Lumumba, repeated in Congo Brazzavile with Ngouabi's demise, in Burkina Fasso with the death of Sankara. The counter-revolutionary in Africa has always been at the service of external politico-economic interests rather than genuine national concerns.
 
Huyu "Mwebesa Rwebugia" ni mtu kweli yupo au character katungwa tu?
 
Nimem Google sijamuona kwenye habari nyingine yoyote zaidi ya hii.

Surely mtu mzito kama huyu lazima awe na trace online.


Katafutwa, haonekani kabisa kwenye dunia ya sasa ya Technolojia.
I mean C'mon, it means he just popped up from no where?!
Ndo siasa za Africa I guess..
 
Back
Top Bottom