Ule ushamba wa kutofika Dar es Salaam bado upo, kwa Tanzania wengi

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Ndio ni kweli , wewe huwezi kujiita mtanzania mjanja kama hujafika Dar, nimetembea mikoa mingi sana nchi hii, na nilichogundua bado watanzania wengi sana hawajafika Dar.

Ni vizuri hata Kwa watu wa Dar kufika nchi za nje ama jirani, hivyo bado washamba wa kutofika dar ni wengi
Na hivi Sasa UCHUMI wa Tanzania ni mgumu na pesa ni ngumu tutegemee tatizo la watu wa mikoani kutofika dar litaendelea kuwa kubwa jamani.

Naomba Sasa serikali iweke utaratibu ili Kila mtu apate fursa ya kwenda dar
 
Dar kuko sawa tu na Kamsamba
 
Kama wewe ni me jua hauko njia sahihi
 
Ujanja ni nini mkuu.

Je ni kupigwa miti na mwanamume mwenzako? Ni kuvaa suruali iliyochanika magotini? Kushindana kuvaa huku huna uhakika wa kula baadaye? Ni kuwa na uwezo wa kuwa na mademu wengi? Ni kunyoa kiduku na kuvaa mlegezobhalafu ukiulizwa kasim majaliwa ni waziri mkuu wa ngapi unaanzankutia huruma au ukiulizwa William Rutto ni nani unabadili mada chap?

please ondoa hayo mawazo ya kikumanyoko kwenye hiyo akili yako.
 
Je kama sijafika dar lakini nimefika Nairobi? hapo vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…