zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Watu walijua ni maigizo wewe halafu angekua kwao watu wanamjua angepiga kelele vile wakwao lazima wangeingilia ameenda mtaa gani huko watu wanajua maigizo ya Azam TV Sinema ZetuSiwaelewi,jamaa analia kama mtoto kweli washindwe kugundua ?watu wamekuwa mafala sana
Mh! LabdaWatu walijua ni maigizo wewe halafu angekua kwao watu wanamjua angepiga kelele vile wakwao lazima wangeingilia ameenda mtaa gani huko watu wanajua maigizo ya Azam TV Sinema Zetu
Sio ujanja ,mimi na imani sahihi ya muafrika wa kale huwezi nitenganisha,nimefanyiwa wiring Za kipangwa,Za kutosha ukinigusa lazima ninukewe mjanja nakujua.
Oya weee sababu ni maigizo maigizo maigizo mitaani hawa wanaopita wanaigiza igiza maigizo kwa hio wengi walidhani wanaigiza ushaelewa?
Wewe ungeionaje video bila camera man?wanaoigiza hutoa taarifa. Pia Kuna camera man .
na wala hupingi..🤣Ndivyo tulivyo
Ukweli ndo huona wala hupingi..🤣
nakutegemea jikaze..😅Ukweli ndo huo
Na walimuacha na pingu walipoona kawasumbua,na huyo mbwa hapo ameonekana vema sana
YHNa walimuacha na pingu walipoona kawasumbua,na huyo mbwa hapo ameonekana vema sana
Mkuu binafsi huzuni niliopata baada ya kuiona clip ile, sijawahi pata huzuni na mfadhaiko wa aina hiyo kwa miaka mingi sana, na nimeazimia kbs mwaka huu nitafanya juu chini nimiliki silaha ndogo ya moto, binadamu amekuwa ni kiumbe katili sana! just imagine, mtekwaji anapiga kelele akiweka wazi kabisa kuwa anaenda kuuawa, na kwamba watu wale hawajui...lkn hana msaada zaidi ya kupambania roho yake mwenyewe! na hiyo ni mchana kweupe je usiku ingekuwaje?Ile clip nimeiyona kila nikiskia jamaa analalamika wamsaidie naskia kama nataka kulia 😪inahuzunisha kwakweli basi tu
Kwa vyovyote vile wa kuuambia umma ndiye mhusika mwenyewe kwenye asimilia kubwa ya matukio ya aina hiyo. Anajua atakavyokwamishwa kwenye kutimiza malengo yake iwapo atatoa tamko hilo kwa umma. Kama ni yeye kaweka utaratibu sahihi wa ukamataji, pamoja na kuongezeka kwa matukio hayo ya utekaji yanayoenda sambamba na upoteaji wa jumla wa watekwaji, shambulio, vilema na mauaji, na kama yeye angekuwa hahusiki ni kwa nini asiutangazie umma na kusimamia uzingatiaji wa utaratibu huo wa ukamataji?Hili ni tatizo la serikali,ingetakiwa umma uambiwe kuanzia sasa hivi polisi wakija kumkamata mtu kwanza wawe na vitambulisho,nakwambia ingekuwa hivyo utekaji ungepungua,tatizo hajulikani nani ni tanpol na nani wasio julikana
Wakina Logikos wanafahamu vizuri zaidi
Nikupuuze tu kwasababu sidhani kama hata una uwelewa wa nini maana ya utaifa.Suluhisho la Kamatakamata (Watu wasiruhusiwe kukamatakamata)
Hii kamatakamata ya watu so called wa Taasisi inaleta loopholes za hata majambazi na watu wengine kujifanya nao wana mandate ya kukamata watu hivyo kupelekea maisha yetu mtaani kuwa ya hatari... Ushauri ili kuondoa Sintofahamu hizi Kama mtu anatakiwa na vyombo vya sheria basi polisi wapeleke...www.jamiiforums.com
Tumepoteza Tunu ya kuaminiana (Tunahitaji Kuirudisha)
“Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.” Kuna mambo yamekuwa yakitokea na watu kurushiana shutuma kwamba ni huyu au yule amefanya.., Mbaya zaidi Kuna upande hawana Imani na Wachunguzaji (Vyombo Husika) kwahio Uchunguzi wowote utakaofanyika bado watu hawataridhika...www.jamiiforums.com
Lets beware of Persecution
Persecution: Hostility and ill-treatment, especially on the basis of ethnicity, religion, or sexual orientation or political beliefs. My motto always ni to each his / her Own - Sitaki kujua wala sihitaji kujua imani ya mtu na anafanya nini wapi au kwanini - Tukiwa pamoja kwenye public sheria...www.jamiiforums.com
Na hayo niliyasema zamani sana..., ila inabakia palepale sisi kama Raia tuna utaifa in comparison na nchi nyingi sana especially USA tunawaacha mbali sana...., Wanasiasa walaghai, walamba asali na uongozi wenye Ombwe hauondoi ukweli huu.... Na hio naongelea leo..., tunapoelekea ni pabaya kwahio kwa huu upuuzi usijeniqoute 10 years down the line; sababu nimekuwa nikiendelea kuonya kinachoendelea kinaharibu kazi kubwa sana iliyofanywa na Mababu zetu...