TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #41
Yaani dah! ,una mawazo kama yangu though mimi nina natural protection,ila ka mguu lazima nikapate,,jamaa kapambana sana kwa kweli,kuwashinda watu watatu na wamemfunga pingu,inatia hudhuni,mimi sikuwa mtandaoni tangu juzi,kuingia nakutana na hiyo clip,nikafadhahika sana.Mkuu binafsi huzuni niliopata baada ya kuiona clip ile, sijawahi pata huzuni na mfadhaiko wa aina hiyo kwa miaka mingi sana, na nimeazimia kbs mwaka huu nitafanya juu chini nimiliki silaha ndogo ya moto, binadamu amekuwa ni kiumbe katili sana! just imagine, mtekwaji anapiga kelele akiweka wazi kabisa kuwa anaenda kuuawa, na kwamba watu wale hawajui...lkn hana msaada zaidi ya kupambania roho yake mwenyewe! na hiyo ni mchana kweupe je usiku ingekuwaje?