Ule wimbo wa 'siyo mchoyo', Young D alimuimbia nani?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Habari!

Wajuzi, aisee nimeumiza kichwa mno ili niifahamu code hasa ya wimbo ule wa mtabe Young D.

Miongoni mwa maneno ya wimbo huo ni, '...she is beautiful, siyo mchoyo...'

Nani ameimbiwa? Ni Diva the boss lady? Ni Tanasha Dona?

Huyu queen ambaye anagawa kwa kila mtu ni nani?

Naomba nimfahamu kwa wajuzi, naona nina 'kamilioni' ka kuchezea hapa😜

NB
Ni serious issue!
 
Milioni kisha anakupa unaondoka nayo au unamwachia?
 
Back
Top Bottom