Ulevi na uadilifu wa ndoa....

Ulevi na uadilifu wa ndoa....

kazin lazima umemchapa mpango mzima kibao jana wewe

Maty hujambo? (missed you!)

Jana nilikua napimiwa bia kwenye glasi...mpimaji mpango mzima...sasa ningekataje netweki nimzabe kibao?
 
muheshimiwa spika naunga mkono hoja....

MWANANCHI WA K AWAIDA NDO ANAEUMIA!
by the way:leo ni pale pale pa jana!ijumaa hii bana...PLEASE COPY TO ALL
Mwananchi wa kawaida unamfanyia hivyo?...........Hatukubali,
 
najua hakuna kitu kirahisi ktk maisha,kila kitu ni kigum ,hata dating pia ni ngum tena sana lkn pia usikubali kila kitu ni kigumu kwakuwa ni kigumu,unaweza ukawa ni mtu pekee wa kufanya kitu kigum kuwa chepesi,najua sijafika huko na ugum uko sana lkn tukiachana na ndoa za sasa za ku copy na kupaste,bado kuna ndoa nyingi zilizopitia ugum zaidi ya hii ya mlevi,na bado wanapendana,heshimiana na kuonekana ni vijana yappo ni wazee,wazazi wetu walipitia meeeengi magum lkn walifika walipotaka kufika,kila kitu ni uvumilivu,na upendo daima,lakini Mungu ni mweza ya yote hasa ukumshirikisha ktk hili,ulitaka wapigane na kuwekana makovu zaidi?Mume mwema hutoka kwa bwana kama Mungu ataniletea mlevi naamini anamakusudi na mm ya kumbadilisha si asiwe mlevi bali awe mnywaji kiasi.

natamani nibadili jinsia nikuoe mbona ningepata raha mie mwe
 
Maty hujambo? (missed you!)

Jana nilikua napimiwa bia kwenye glasi...mpimaji mpango mzima...sasa ningekataje netweki nimzabe kibao?
usilete ujanja ujanja wako hapa! unafikiri unaweza ku-miss people arround as you please?
Tutaonana kikaoni.
 
mpango mzima jana ulikutait ee inabidi tar 26 atuachie na sie mpango wa nje bana lol(mic u too mwaaaa watoto wasione)
 
Labda usitokee kabisa.........huwezi kuvunja :grouphug: ya wananchi wa kawaida kwa whatever reason uliyonayo.
 
usilete ujanja ujanja wako hapa! unafikiri unaweza ku-miss people arround as you please?
Tutaonana kikaoni.

Naonewa, nadhalilishwa....... kuna agenda ya kuvuliwa uongozi?
 
Mme karudi nyumbani chakari….netwek imekata…..mke anampokea mme wake na kumvua nguo ili amlaze kitandani……

Mme: We ma hick hick maaya hick hick…we maaya..niashe hick hick….nashema niashe hick hick….nampenda mke wangu…
Kinafata kibao kikal kinachomwachia mamsapu alama ya kudumu katika risepsheni yake….
Ipi itakua reaction ya mamsapu?

Hapa nazungumzia ulevi na uadilifu....

Nawatakia maandilizi mema ya ujio wa Masiha....mbege na bia kwa wingi!

uuuuuwwwiiiii
hichi ndo kituambacho naomba Mungu kisije tokea maishani mwangu....
Kwa kweli nawaonea huruma sana wakina mama ambao wanakubwaga na hii mikasa..
Mungu atusaidie tu...
 
Ubaguzi huo...
 
najua hakuna kitu kirahisi ktk maisha,kila kitu ni kigum ,hata dating pia ni ngum tena sana lkn pia usikubali kila kitu ni kigumu kwakuwa ni kigumu,unaweza ukawa ni mtu pekee wa kufanya kitu kigum kuwa chepesi,najua sijafika huko na ugum uko sana lkn tukiachana na ndoa za sasa za ku copy na kupaste,bado kuna ndoa nyingi zilizopitia ugum zaidi ya hii ya mlevi,na bado wanapendana,heshimiana na kuonekana ni vijana yappo ni wazee,wazazi wetu walipitia meeeengi magum lkn walifika walipotaka kufika,kila kitu ni uvumilivu,na upendo daima,lakini Mungu ni mweza ya yote hasa ukumshirikisha ktk hili,ulitaka wapigane na kuwekana makovu zaidi?Mume mwema hutoka kwa bwana kama Mungu ataniletea mlevi naamini anamakusudi na mm ya kumbadilisha si asiwe mlevi bali awe mnywaji kiasi.
mmh umeongea mema.....
ya kweli zaid...akuna cha raisi kila kitu ni muhimu...
 
Back
Top Bottom