Ulevi Unaninyima Amani. Ninaomba Msaada wenu

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
671
Reaction score
1,644
Habari zenu ndugu zangu,

Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.

Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.

Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.

Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
 
Sasa kama pesa ya kunywa pombe nyingi ipo shida iko wapi?
 
Ni rahis, kwanza ondoa vishawish vyote vinavyofanya uende huko, marafiki, makundi, wanawake, hama kabisa nenda maeneo ambayo hayaleti ushawishi

Mostly amua kwekweli, siku za mwanzo itakuwa ngumu but utakaa poa
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.

Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.

Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.

Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Inaonekana una pesa za kuchezea. Zikiisha Pombe utaacha.
 
Mithali 24:16 Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya.

Jaribu tena na tena mpaka utakapo acha ulevi. Utaanguka tena lakini usiache kusimama
 
Tafuta kitu cha kufanya hasa muda ambao hua unapata wazo la kinywa kwa mfano wekeza muda wako kwenye mazoezi iwe kukimbia asubuhi na jioni au kucheza mpira , lakini epuka Sana marafiki ulionao kwa sasa ambao ni walevi wenzako Anza kuwakimbia haraka Sana, jitahidi Sana kutafuta kitu mbadala cha kunywa hasa maji, iwe unakua nayo kwenye chupa unakua unakunywa taratibu,
 
Back
Top Bottom