mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 663
- 714
1. Tafuta marafiki ambao sio waleviHabari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
2. Jiunge na kwaya kanisani au uwe mtu wa ibada iwe Islamic au kristo
3. Tafuta KAZI ya kukuweka busy muda wote
4. Panga sehemu ambayo Haina bar Wala vilub vya pombe