Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ushauri wako mtaalaamu wa mambo ya uraibu”Kama anachosema ni kweli,, ataamua mwenyewe. Wengi wametoa ushauri. Atachagua ushauri wako, au wa yeyote.
Acha kebehi mkuu. Huyu mwenzako anateseka na uraibu na wengi wameshauti ila umanitaka mimi tu, au tuliosoma wote na wewe nini ?Toa ushauri wako mtaalaamu wa mambo ya uraibu”
Au ushauri nao huna??😎😎
Nasubiri Expert nisikie ushauri wa kitaalam
WameshauriAcha kebehi mkuu. Huyu mwenzako anateseka na uraibu na wengi wameshauti ila umanitaka mimi tu, au tuliosoma wote na wewe nini ?
Hatushindani kwa ushauri. Mtoa mada achukue ushauri wako tu kama ataona unafaa.Kama huyu komasalonde Atachangia point ya ushauri mniiite
usikosoe kaka huna mbadala !!Acha kebehi mkuu. Huyu mwenzako anateseka na uraibu na wengi wameshauti ila umanitaka mimi tu, au tuliosoma wote na wewe nini ?
acha kujitetea tunataka tujifunze kwako mkosoajiHatushindani kwa ushauri. Mtoa mada achukue ushauri wako tu kama ataona unafaa.
Kuna post ya ushauri nilikwishaitoa yawezekana hujaiona mkuu. Nilimshauri mambo Saba.usikosoe kaka huna mbadala !!
Never Never!!
Unavokosoa inabidi uwe na njia inayofaaa
we umekulia wap lakin
Unapinga lakini hauna hoja sahihi!!😂😂😂😂
Nimemshauri tayari. Angalia post no 40.usikosoe kaka huna mbadala !!
Never Never!!
Unavokosoa inabidi uwe na njia inayofaaa
we umekulia wap lakin
Unapinga lakini hauna hoja sahihi!!😂😂😂😂
olewako nione umeandika uharoNimemshauri tayari. Angalia post no 40.
Sawa mkuu wa kaziolewako nione umeandika uharo
Ila wewe komasalonde uliona wapi Ulaibu unatibiwa kwa njia hizi!!Jambo la kwanza mtegemee Mungu. Pili acha marafiki wote mara moja, tatu nenda kwa wataalam wa afya ya akili. Nne kunywa vimiminika tofauti wakati unahisi kiu, kama maji, maziwa tangawizi na mchai chai. Tano soma vitabu vya kiroho au Biblia ama Quran kulingana na Imani yako. Sita usikose ibada kama ni Jumapili, au msabato jumamosi au ijumaa kama ni muislam. Saba na mwisho lala usingizi wa kutosha zaidi ya 8 hours.
Miiko mitatu ya pombe itakayokusaidia maishaniHabari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Nina ushahidi 100% yuko ndugu yangu alipona kwa njia hizo. Alifukuzwa kazi, mke alimkimbia hata Mirembe alienda. Labda Kiongozi, nikushauri usikariri maisha. Njia yoyote aliyopangiwa na Mungu yaweza kumsaidia ili mradi isimuingize kwenye addiction nyingine. Barikiwa.Ila wewe komasalonde uliona wapi Ulaibu unatibiwa kwa njia hizi!!
Labda bwana mdogo huelewi ni nini
Mawazo yako uraibu ni tabia ya kawaida hapana uraibu ni stage ya mwisho ya tabia sugu ambapo mtu anakua hana udhibiti wa tabia yake na mwili wake .
Hivo katika hii stage mtu hana uhuru wa kujiamulia ila mwili unamuamulisha.
Hizi zote ni useless mkuu nenda kajifunze kuhusu Addiction!
Ushauri mzuri sanaUkiona unahangaika kuacha pombe maana yake nguvu ya Mungu inakuondoa ktk hilo janga la ulevi... Ni jambo si rahisi kwasababu shetani pia anataka uendelee kuwa mtumwa wa pombe...
Anza kufanya ibada mida ambayo huwa unapenda kunywa fanya ibada au soma maandiko ya Mungu... Epuka kuitwa au kuwa karibu na watu walevi wanaokushawishi...
Haitakuwa rahisi ila Mungu ni mwema soon utashuhudia ukuu wa Mungu...
Ktk yote usijutie maisha ukayaona mabaya, hayo ni mambo ya kawaida ktk maisha hutokea cha msingi focus ktk kujijenga upya kiafya kiakili na kiuchumi...
Kuna watu walikuwa walevi leo ni viongozi wakubwa tu wakuheshimika cha muhimu ni kukubali kubadirika

Unatumia kilevi gani? Kwanini usiwe na LIMIT Mbona wengi wanakunywa kwa KIASI.Habari zenu ndugu zangu,