Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Sasa kama pesa ya kunywa pombe nyingi ipo shida iko wapi?Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Ni rahis, kwanza ondoa vishawish vyote vinavyofanya uende huko, marafiki, makundi, wanawake, hama kabisa nenda maeneo ambayo hayaleti ushawishiHabari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Asante mkuuuPole sana.Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Kila siku najipatia excuse tu , mara nikinywa leo sinywi tena.Hivi hapa Tanzania hakukuna rehabilitation centre? Maana ushakuwa addicted kuacha unaweza ila ujipange sana. Pole sana mkuu
Asante kwa ushauri MadameAcha tu...yaan AMUA
Inaonekana una pesa za kuchezea. Zikiisha Pombe utaacha.Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Hii ndo kitu inanisumbua mkuu.Kuna kale kahali ka kiu hivi mnakaelewa nyie. Nenda sober tu
Naomba muongozo in details mkuu.Cha kwanza kwa sababu mwenyewe Una uraibu na umekili hutakiwi kwenda sobber , kuacha kwako ni rahisi sana