Ulevi Unaninyima Amani. Ninaomba Msaada wenu

Kama anachosema ni kweli,, ataamua mwenyewe. Wengi wametoa ushauri. Atachagua ushauri wako, au wa yeyote.
Toa ushauri wako mtaalaamu wa mambo ya uraibu”

Au ushauri nao huna??😎😎
Nasubiri Expert nisikie ushauri wa kitaalam
 
Pole sana mbona majanga hayo?.labda una pepo...
 
Acha kebehi mkuu. Huyu mwenzako anateseka na uraibu na wengi wameshauti ila umanitaka mimi tu, au tuliosoma wote na wewe nini ?
usikosoe kaka huna mbadala !!

Never Never!!
Unavokosoa inabidi uwe na njia inayofaaa

we umekulia wap lakin

Unapinga lakini hauna hoja sahihi!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utakapoliwa tigo yako ndio utakuwa mwanzo mzuri wa kuacha pombe.
 
usikosoe kaka huna mbadala !!

Never Never!!
Unavokosoa inabidi uwe na njia inayofaaa

we umekulia wap lakin

Unapinga lakini hauna hoja sahihi!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna post ya ushauri nilikwishaitoa yawezekana hujaiona mkuu. Nilimshauri mambo Saba.
 
Ila wewe komasalonde uliona wapi Ulaibu unatibiwa kwa njia hizi!!

Labda bwana mdogo huelewi ni nini

Mawazo yako uraibu ni tabia ya kawaida hapana uraibu ni stage ya mwisho ya tabia sugu ambapo mtu anakua hana udhibiti wa tabia yake na mwili wake .
Hivo katika hii stage mtu hana uhuru wa kujiamulia ila mwili unamuamulisha.

Hizi zote ni useless mkuu nenda kajifunze kuhusu Addiction!
 
Miiko mitatu ya pombe itakayokusaidia maishani
Kila unywapo pombe kumbuka haya
1. Wewe ni nani
2.Uko wapi
3. Unafanya nini
Ukiona huwezi kuyakumbuka hayo acha pombe mara moja
 
Nina ushahidi 100% yuko ndugu yangu alipona kwa njia hizo. Alifukuzwa kazi, mke alimkimbia hata Mirembe alienda. Labda Kiongozi, nikushauri usikariri maisha. Njia yoyote aliyopangiwa na Mungu yaweza kumsaidia ili mradi isimuingize kwenye addiction nyingine. Barikiwa.
 
Ushauri mzuri sana
Ushauri mzuri sana
 
Unatumia kilevi gani? Kwanini usiwe na LIMIT Mbona wengi wanakunywa kwa KIASI.

Unatakiwa ujue LIMIT yako baada ya hapo haunywi yaan, hufanyi over drinking kunywa kwa kipimo huzidishi Mbona easy nyinyi ndio mnafanyaga POMBE ionekane ni mbaya na ya watu wapumbavu na wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…