Kumbe ulikuwepo eeeh.Zile zenye antena ?? au🤣🤣🤣🤣
Betteri yake sasa🤣🤣🤣 kama panasonic size AAASimens fulan hivi ina antena,kioo kama cha saa,mwanga wa kijani,alafu ina kama wowowo kwa nyuma.
Betteri yake sasa
Ringtonation unaikumbuka?Waptrick
16Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
Ile samsung ya black ya tochi 😅Aina gani?
Hiyo ni blog britherTupia kapicha tuone
🤣🤣🤣GURUIle samsung ya black ya tochi 😅
Qbila shaka hizi nimezikutaUkipokea unaanza kuongea: Haloo sijui nani mwenzangu..... enzi hizo watu walikuwa binadamu eView attachment 3432702