Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

Laini ninayotumia nilinunua 2003 Elf Saba, wakati huo naambiwa kadude haka unaweza kuwasiliana na mtu akiwa hata Ulaya, Simu 2004 hela ya Ada nilinunua elf 60,namm kuna mzee mkulima wa kahawa nikamuuzia laki moja baadaye 😀 hii laini ya 0717 inanikumbusha mengi ya zamani
Laini za malegend
Zain
Celtel
na n.k
 
2012 nilikuwa kinara wa game la snake...nilikuwa najaza kioo kizima.
 
Back
Top Bottom