Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
Miaka 17 mwaka gani?
Mi nimemiliki simu ilikua kubwa km radio call, badae tritel nikapata kibushuti kile cha kuzugia funika fungua toka UK,
mobitel zinatoka Nokia 1310 mi nilipewa bure tu.
Kisamsungcha cha kuslide kile ilikua Kama saa,badae blueberry, Google, Nokia. Iphone2.
Ndo mazima nikahamia huku nipo.
Sasa kuna haja² kuongea mambo ya simu?
 
Hapo kwenye tekno y3 ndio smartphone yangu ya kwanza nikiwa na miaka 16 form 3 ila nimeanza tumia cm nikiwa darasa la saba miaka 13
 
Laini ninayotumia nilinunua 2003 Elf Saba, wakati huo naambiwa kadude haka unaweza kuwasiliana na mtu akiwa hata Ulaya, Simu 2004 hela ya Ada nilinunua elf 60,namm kuna mzee mkulima wa kahawa nikamuuzia laki moja baadaye 😀 hii laini ya 0717 inanikumbusha mengi ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…