Ulianza lini kupenda na kufuatilia Siasa?

Tangu darasa la tatu mwaka 1987.Kilichonivutia kwanza ni walimu wangu,pili Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea,tatu Ahadi Kumi za Mwana TANU,Lugha ya Kiswahili na nchi yangu pendwa Tanzania.
 
Mie nazungumzia siasa katika mtazamo(angle) uliokuja nao wewe mleta mada.
Huwezi kuniambia maisha ni siasa halafu muda huo huo unaniambia nilianza kupenda lini siasa?

Ulianza lini kupenda na kufuatilia SIASA?​

so,
nawe mwanataaluma sio?

maana ni nadra mwanataaluma kuikana siasa aina yoyote ile, ila kwa mazingira ya sasa definitely a feel hii ya majukwaani na si vinginevyo πŸ’

hata na hivyo si mbaya.....
natafuta uzoefu wa jinsi ya kufanya siasa safi blia kumdhihaki mwingine kwa maneno ya kuudhi au mabaya πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…