Ulianzaje kujenga nyumba yako ya kwanza?

Merchante

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Posts
1,365
Reaction score
2,842
Wasalaam ndugu zangu!

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, lengo la huu uzi ni kupeana mbinu ni namna gani uliweza kuanza ujenzi.

Uzi huu ni kwa wote, hapa namaanisha wale mliyofanikiwa kujenga, wale mliyokatika hatua za wali za ujenzi na pia wale mliyokatika hatua za mwisho za ujenzi.

Lengo ni kupeana mbinu za kutimiza ndoto katika issue nzima ya ujenzi wa nyumba zetu.

Binafsi natamani kuanza ujenzi, na naamini mwaka huo wa 2023 nitaanza ujenzi so nahitaji mbinu kadhaa. Sina pesa nyingi ila naamini nitafanya jambo hata kwa hiki kidogo nilichonacho.
 
Ujenzi ni km uji wa moto kla mtu anambinu zake za ujenzi ata akikupa haziwezi kukusaidia.

Mbinu za Dewji za utajiri kla mtu anazijua ila unazani kwa mbinu zake ww unaweza kua tajir km Dewji.

Fanya mambo kulingana na mazingira yako na uhalisia wa eneo.
 
Nenda hatua kwa hatua. Mimi napenda kuwashauri watu wawe na ramani ya nyumba anayotaka kujenga ambayo ataimudu

Ili nyumba iwe vizuri jenga kwanza msingi wa nyumba yako yote tulia vuta nguvu

Baada ya hapo kuna mawili kama hali zako zinaruhusu anza kunyanyua tofali za nyumba nzima, ikiwa huna nguvu hizo na unataka kukwepa kodi za kupanga nyanyua hata vyumba 2 kwanza vipaue temporary maliza kabisa finishing hamia. Ukiwa hapo kwako ndio nguvu ya kumalizia nyumba itaongezeka zaidi. Ukipata nguvu malizia nyumba yako

Kwenye kupaua nyumba nzima hapo jipange hakuna kazi nusunusu kwenye upauaji. Kama kuna hardware inayoaminika wanauzs materials zote za upauaji anza kuwekeza mdogo mdogo mpaka zitimie materials zote, baada ya muda tafuta pesa ya fundi paua.

Vuta tena nguvu, sasa weka magrill madirishani na milango ya kuingilia ndani ya nyumba, weka mifumo ya bomba na umeme piga plasta nje na ndani ya nyumba. Vingine utamalizia mdogomdogo
 
Ngoja niongezee kwenye hii comment nzuri kabisa

1.Jua vipimo vya eneo lako na vipimo vya nyumba unayotaka kujenga, ramani au hata sketch tuu.

2.Pangilia matumizi ya eneo lako, yaani nyumba ikae/iangalie wapi, shimo la choo, uwanja, miti ya kivuli kama utatak bustani etc.

3.Anza ujenzi kwa hatua na kwa malengo:
Kufata maelezo aliyoyatoa [mention]Mzee wa kupambania [/mention]
 
Hii kitu muhimu sana
 
Shukrani sana ndugu kwa ushauri.
 
Ngoja niongezee kwenye hii comment nzuri kabisa

1.Jua vipimo vya eneo lako na vipimo vya nyumba unayotaka kujenga, ramani au hata sketch tuu.

2.Pangilia matumizi ya eneo lako, yaani nyumba ikae/iangalie wapi, shimo la choo, uwanja, miti ya kivuli kama utatak bustani etc.

3.Anza ujenzi kwa hatua na kwa malengo:
Kufata maelezo aliyoyatoa [mention]Mzee wa kupambania [/mention]
Shukrani sana Mkuu.
 
Nenda hatua kwa hatua. Mimi napenda kuwashauri watu wawe na ramani ya nyumba anayotaka kujenga ambayo ataimudu

Ili nyumba iwe vizuri jenga kwanza msingi wa nyumba yako yote tulia vuta nguvu

Baada ya hapo kuna mawili kama hali zako zinaruhusu anza kunyanyua tofali za nyumba nzima, ikiwa huna nguvu hizo na unataka kukwepa kodi za kupanga nyanyua hata vyumba 2 kwanza vipaue temporary maliza kabisa finishing hamia. Ukiwa hapo kwako ndio nguvu ya kumalizia nyumba itaongezeka zaidi. Ukipata nguvu malizia nyumba yako

Kwenye kupaua nyumba nzima hapo jipange hakuna kazi nusunusu kwenye upauaji. Kama kuna hardware inayoaminika wanauzs materials zote za upauaji anza kuwekeza mdogo mdogo mpaka zitimie materials zote, baada ya muda tafuta pesa ya fundi paua.

Vuta tena nguvu, sasa weka magrill madirishani na milango ya kuingilia ndani ya nyumba, weka mifumo ya bomba na umeme piga plasta nje na ndani ya nyumba. Vingine utamalizia mdogomdogo

Kwahiyo ili iitwe nyumba inabidi iwe na nyumba vingapi mkuu [emoji276]?,maana hapo umezungumzia eti paua hata vyumba viwili!,kwahiyo wewe unaamini hadi iwe nyumba ni lazima iwe na vyumba kama Guest house?,kwahiyo hakuna nyumba ya vyumba viwili?
 
Samahani sijakuelewa uandishi wako
 
Kwahiyo ili iitwe nyumba inabidi iwe na nyumba vingapi mkuu [emoji276]?,maana hapo umezungumzia eti paua hata vyumba viwili!,kwahiyo wewe unaamini hadi iwe nyumba ni lazima iwe na vyumba kama Guest house?,kwahiyo hakuna nyumba ya vyumba viwili?
Mkuu Hukumuelewa kabisa!!! Ungesoma tena kwa umakini comment yake. Sidhani kama ameongelea ishu hizo.
 
Mimi nilijenga mpaka juu. Fundi wa bati alipoanza kupiga nyundo ya kwanza tu boma lote lilianguka! Nikashtuka kutoka usingizini.
 
Nilisubiri miaka 7 tangu kupata ajira kwa kuhofia kuanza, maana kila mtu aliniambia ujenzi ni ghali ingawa ni hao hao ambao walishakuwa wamejenga au wanajenga, for some unknown reason walinifanya nione kama sitaweza, nikiuliza bajeti estimates zao zilikuwa juu sikujua naanzia wapi. Nikafikia sehemu nikachukia kabisa kupanga. Nikaenda bank kuchukua mkopo. Kiwanja kipo sehemu tambarare(nilishanunua few years before) so nilifukua tu msingi na kushusha tofali na kuinua nyumba juu bila zile mbwembwe za nondo etc. Mkopo ukaipeleka nyumba hadi kwenye lenta. Pale nikasimama mkopo ukakata. Nikajipanga nikasave mishahara kadhaa na kumalizia kozi 3 za juu. Kisha nikatulia na kuwekeza kwenye bati yaani napeleka kwa mwenye duka kidogo kidogo ananiandikia risiti, yes ni risky, akifa unaweza kuhaha but ilinisaidia. Nilipomaliza nikazichukuwa bati zangu na kuziweka ndani. Nikajichanga na kumaliza bajeti ya mbao nikamwita fundi kwa mkopo. Fortunately ni yule yule aliyejenga boma, akasema nipe hela niwalipe wasaidizi wangu, yeye nilimpa mshahara ulipoingia a month later. Nyumba ikaezekwa. Over the course of several months later nikakamilisha taratibu chumba kimoja tu na Public toilet na milango miwili ya nje. Kabla sijahamia nikapata hela kidogo nikapiga lip kwa ndani vyumba vyote, korido na rough ya chini(hii process ni cheap sana kwenye ujenzi usiogope). Kabla sijaanza kukamilisha hicho chumba kimoja nilikuwa naweka taratibu grills za madirisha kwa ajili ya security, ile room moja ilipokuwa tayari nikaingia maisha yakaendelea, bado sijakamilisha kila kitu ila as we speak nyumba imepigwa chokaa yote, tiles na madirisha yote yamefungwa vioo nilikuwa nafanya hivyo kidogo kidogo. Zaidi zaidi bado washroom ya master bedroom, kupaka rangi na kupamba walls vile wanavyofanya siku hizi, na kuweka furniture mpya. Before nihamie shimo la choo lilikuwa limeshajengwa taratibu hivyo hivyo. Nimeingia nategemes maji ya jirani lakini baadae maji yalipopita kwangu nikayavuta. Ujenzi una vitu vingi vidogo vidogo, ushauri usivipuuzie, mfano kulaza mabomba na kuchimba mfumo wa umeme vinaweza kuonekana cheap lakini ukisema uvipe muda wake utachemka, wewe kwenye ujenzi mkubwa unganisha na hivyo vitu kimoja kimoja ili usiifeel gharama, wakati wanajenga wewe tafuta mtu ajaze udongo ndani. Wakati wanajenga boma tafuta mtu achimbe shimo la choo, wakati wanapaua ongea na fundi uweke grills moja moja kwa kadri ya bajeti. Cha msingi anza, maana ukianza hutaacha, ujenzi una kawaida ya kukufanya uwe focused kila hela utakayopata utaipeleka kwenye boma lako. Kuingia kabla nyumba haijaisha kuna kero lakini pia kunasave hela ya kodi inaelekea kwenye ujenzi. Nina marafiki wana watoto lakini walimanage kuingia hivyo hivyo pia. Hakikisha una chumba kimoja kimekamilika ili kuepuka intrusion ya personal space finishing zinapoendelea. The whole process ilinichukua 3 years tangu kuanza ujenzi hadi kuingia. It is totally doable, ningeanza the moment naanza kazi huenda ningekuwa na nyumba 2 sasa, ya kuishi na ya kupangisha, imagine hela niliyokuwa nalipia kodi!. Pia, kama una uwezo wa kupanda public kwenda kazini please do so, ukisema ununue gari ni bonge la liability, kulihudumia litakurudisha nyuma significantly, nasema hivyo sasa wakati nimenunua gari yangu ya bajeti kabisa mafuta kizibo cha soda, naona kama ingenishika shati sana kama ningekuwa sijajenga. All the best.
 
Asante

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Ujenzi unakufanya uwe arosto! Kila ukipata hela unaitia huko!
 
Back
Top Bottom