Ulianzaje kujichua(punyeto)?

Ulianzaje kujichua(punyeto)?

Toka nizaliwe sijawahi sikia 4m6 wanaanza muhula mwezi wa kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eeh mbona unachekesha mkuu muhula wa 2 form 5 na 6 si Januari au hukupita A level 😁😁😁😁😎😎
 
Ukiona nyege zimepanda na unakaribia kumtafuta kwa gharama wa kumpeleka moto tia nyeto ukimaliza kumwaga utaona bora haukutumia pesa yako kuonga au kununua malaya
Sio lazima kufanya mapenzi mkuu uwe na uwezo wa kuzuia hizo hisia zako...hisia za kufanya mapenzi sio mkojo kwamba ukikubana lazima ukakojoe.

Hata nyege huwa zinakuja ukianza kufikiria hayo mambo... ukiwa bize na harakati zako za hapa na pale umerudi ghetto, umekula umelala hata swala la ku sex unasahau kama lipo.

mara nyingi kama sio mara zote, wazo la kupiga puchu linaanza kuja kichwani ukiwa umekaa idle..kuwa bize.
 
Back
Top Bottom