Ulianzaje kukaa gheto?

Hapo kuna mawili ......either kaachiwa na ndugu yake .......au aliuziwa na wale last year.....yan unauziwa vyote vilivyomo geto
Ktk maisha yangu sijawahi nunua kitu kwa mtu, kitu nikikipenda natafuta hela naingia dukani kuchukua, na ktk maisha yangu sipendi vitu vya kupewa au kuachiwa.

Kaka zangu (twins) wanasoma Muhas last yr now, na hao wenyewe kila mtu anaishi kwake japo ni majirani tyuuh sehem wanayoishi. Wakimaliza vitu vyao uamuzi ni wao kuuza au kurudi navyo home.

Kwa upande wangu vitu nilivyokua navyo nikihitimu siwezi kuuza narudi navyo home tyuuh. Ili nikaanzie maisha sehemu nyingine.
 
Wee lako hebu nione.
Mimi siishi gheto nakaa mjengoni nakumbuka kama 2019 nishawai comment uu uzi kuwa panapo majariwa 2020 naamia kwangu nikitoka home mungu nae akajibu mahombi yangu
 
Mimi siishi gheto nakaa mjengoni nakumbuka kama 2019 nishawai comment uu uzi kuwa panapo majariwa 2020 naamia kwangu nikitoka home mungu nae akajibu mahombi yangu
Hongera sana, kumbe ukiwa unapanda ngazi vile ni home? Lol.
 
Gheto nimeanza kukaa nlipoanza high school...Mzee wa mshikaji wangu alitupa nyumba ambayo haijaisha tukakarabati chumba kimoja tukahamia tukawa tunapiga Msuli humo...tunaenda kupiga msosi ma kwetu tunarudi Gheto kutoboa...after high school nikapata kazi mkoani, Mzee akanipa Godoro tu nikaanzie Maisha then akaniambia mimi na wewe are done, i never looked back since then.
 
Asante mkuu..nimekuelewa sana mkuu...Kumbe inawezekana..asante sana kwa kunipa hamasa ya kuboresha zaidi mazingira yangu..Bless up.
 
Aiseee kibish kwel [emoji3][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…