Ulianzaje kukaa gheto?

Kote kote mkuu,,,mzigo utaufata posta yako ya karibu

Muda wiki 2 hadi 4 inategemea na aina ya usafiri utaotumia...utajua meng stay around mkuu
 
Sio poaa mkuu..big up sana kaka
 
Mkuu kuna kosa umelifanya...unapotaka kununua bidhaa yoyote sehem yoyote lazma uwe umefanya utafiti...

Ukisoma description za product huko mtandaon na ukapitia reviews za wanunuaji wengine basi utajua kabisa kitu unachotaka kununua..

Hivyo vioo viko na grade zake kuanzia AAA mpka chini uko...sasa ww hukujali hilo ulinunua tu ukihisi ni super amoled yenyew bila kusoma product specifications na reviews

Niamini online kuna hela...jana tu nimepokea simu ya dogo mmoja anataka note 9...faida nimepata 50 nzima...usiwe mwepesi wakuacha mambo kisa ulifeli kwa mara ya kwanza.
 
Mkuu nimekucheki dm.
 
Mwaka wa 2 huu kukaa ghetto, nashukuru Mungu maisha yanaenda na sina mpango wa kurudisha mpira kwa kipa[emoji3] tuendelee kupambana wakuu
Hongera sana Mkuu kwa kupambana pia hongera kwa kutuokua na fikra za kurudisha mpira kwa kipa.

Ni miaka mingi niko Ghetto (since 2009) nikiwa mdogo sana,nadhani ni almost 12 years mpaka sasa,na sijawahi kufikiria kurudisha mpira kwa Kipa kwasababu hata huyo Kipa wa kumrudishia huo mpira sina.
 
nilidhan amoled kumbe ni TFT. japo pia niliangalia reviews za buyers nkaona wanarate mpaka 4star. nkajilipua
 
kudos xana mkuu
i wish cku moja niwe na getto lng
najaribu kuwaza hisia za kutamani getto unazozipitia....ila trust me siku moja utafanikisha..tuendelee kupambana.
 
Nina mwezi mmoja na nusu....mpaka sasa tangu nihamie geto,,,,Nashukuru Mungu naona kama mambo yananinyokea taratibu
 
najaribu kuwaza hisia za kutamani getto unazozipitia....ila trust me siku moja utafanikisha..tuendelee kupambana.

kwel kaka
apa nawait muda wa chuo ufike t
Sitokaa hostel abadani
 
NATABIRI; wiki ijayo jamaa atakuja kwenye uzi wa Rickboy
Uzi Utakua hivi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Jinsi financial service alivyoliwa kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway
Kua makin mkuu
Ahsante kwa alert mkuu, ntakua makini

Ila naamini hamnaga masikhara kwenye kulana ni maamuzi tu 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…