Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Akiendelea fanya kunitagBrother...Nakuomba hiyo next time iwe leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiendelea fanya kunitagBrother...Nakuomba hiyo next time iwe leo.
Inahamasisha sanaKufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Wala hata haihamasishi huyo jamaa ni dalali wa magari...hyo story ilikuwa ya kutunga tu kufurahisha genge.Inahamasisha sana
Ongera
Huyo jamaa ni muongo namba moja hapa JF. Sijaona mpinzani wakeWala hata haihamasishi huyo jamaa ni dalali wa magari...hyo story ilikuwa ya kutunga tu kufurahisha genge.
Yeah hata mm nililijua hilo mapema..Huyo jamaa ni muongo namba moja hapa JF. Sijaona mpinzani wake
Man nadhani inategemea na mtu mishe unafanyia wapi, ila kama mishe ni katikati ya jiji, Kigamboni kwangu pamekaa vizuri aiseeYeah hata mm nililijua hilo mapema..
Sema tumu'ignore tu coz hana issue..
Nn;hivi ni maeneo gani mazuri ya kupanga ghetto kwa jiji la dar
Sehemu za kupanga inategemea unapiga mishe wapi, ukipanga Gongolamboto na unafanya kazi Mawasiliano unakuwa kichaa. Ni bora kupanga room ya elfu 80 karibu na unakofanya kazi kuliko kupanga elfu 50 ambako utalipa 400 kupafikia na utakaa njiani lisaa limoja.Man nadhani inategemea na mtu mishe unafanyia wapi, ila kama mishe ni katikati ya jiji, Kigamboni kwangu pamekaa vizuri aisee
nimeielewa sana point yako ya kutunza muda apa.. na kupungza gharama piaSehemu za kupanga inategemea unapiga mishe wapi, ukipanga Gongolamboto na unafanya kazi Mawasiliano unakuwa kichaa. Ni bora kupanga room ya elfu 80 karibu na unakofanya kazi kuliko kupanga elfu 50 ambako utalipa 400 kupafikia na utakaa njiani lisaa limoja.
Hiyo 800×28=22,400 ongeza usumbufu wa foleni siku flani itabidi uchukue bodaboda. Yani hiyo elfu 30 unayosefu haipo kabisa. Kwanza thamani ya masaa mawili unayopoteza go and return ni kubwa mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa ni muongo namba moja hapa JF. Sijaona mpinzani wake
Panga eneo jiran na unapofanya kaz zakoYeah hata mm nililijua hilo mapema..
Sema tumu'ignore tu coz hana issue..
Nn;hivi ni maeneo gani mazuri ya kupanga ghetto kwa jiji la dar
Mkuu naomba nisaidie linki hiyoMkuu picha niliweka juu huko...pita vzr kweny uzi...au jion nikirud naweza fanya ustarabu tena..
Kuhusu kununua vitu online na jinsi utavyo weza piga hela..iko hivi
Wenzetu vitu kule ni bei chee sana..hasa masoko ya china...sana sana AliExpres...
Kitu unachotakiwa kufanya ni kufungua account huko kisha kujaza details zako za msingi na address yako ili kupokea mizigo yako..
Baada ya hapo utaingia sokoni sasa na kutafuta bidhaa ambazo ww unahis bongo zinasoko...utaweka order zako hapo na utalipia kisha shipping itafanyika..
Sasa uzuri wa haya masoko licha yakua na bei ndogo za bidhaa pia kuna misimu ya offa..yani hapa ndo unajibebea kapu zima[emoji1787]...mfano kuna offa kama black friday,11.11 , anniversary sales na zingine kibao..misimu hii yani vitu vinashuka bei sana...
Kwaiyo kitu huwa nafanya nasubirig hizi offa zije kisha nanunua items kibao hata kama sina mteja...vikifka bongo ndo naanza kuvipush..yani havikai watu wanavigombania..
Nimeanza kufanya hii biashara in a small scale ili kugain experience yakutosha kwanza..lakin nawaza kuifanya kwa ukubwa hapo badae kidogo...
Lakin pia ukiacha zile offa za misimu nilizozitaja pia kuna coupon zipo..zinatolewa free..ukiwa mjanja unakusanya tu coupon kisha wakat wa manunuzi zile coupon zinaleta discount...na pia kuna kitu kinaitwa promocode..hizi ni code flani nazo huwa zinatolewa...nazo ukizijaza sehem ya promocode wakat wa manunuzi huwa zinakupa punguzo la bei hivyo inakufanya upate bidhaa kwa bei rahis sana..
Kwaiyo faida inapatika nzuri tu...mfano bongo simu za xiaomi mfano redmi note 8 zlikua zinauzwa 550..wakati kipind nanunua mm online zilkua 350 tu...so mim nikawa nauza kwa 450 bdala ya 550 bei ya bongo..so faida yangu 100k sitaki tamaa..hapo unakuta nimenunua simu tatu au mbili tu kibingwa..
Lakin kuna watu pia huwa nawaagizia..so wao wananilipa tu hela ya kuagiza...sikosi 20 au 30 depends na kitu anachoagiza...na hapo hapo mtu ninapo muagizia nakua mjanja natafuta coupon, promocode na seller mwenye bei nzuri basi napata chajuu tena..
All in All nimeua [emoji3]
Kama utapenda kujifunza jinsi ya kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao basi nitaweka link ya group la telegram lenye kutoa hayo mafunzo mpaka naww uweze kua gwiji wa Manunuzi ili kusudi ujikwamue na maisha ya gheto....
The funny thing saizi karbia item kibao sinunui tena kariakoo...yani mm mpaka usb nanunua china[emoji16]....nina vitu wana wakija..huwa wanshangaa nimevipata wapi..basi nawambia nipeni hela hiyo mnivue..basi wananipa kweli naagiza vingine [emoji3]...
Life is funny my brothers [emoji3]
NB kam kuna mtu atapenda kufunza basi aseme nami bila hiyana nitawapa link ya mafunzo..ipo telegram..bure kbisa
Mkuu tunakusubiri aiseeeKwanza kabisa niseme wadogo zangu ambao bado mnakula ugali wa shikamoo. Hakuna kama raha kumiliki ghetto lako aseee, usiogope maisha anza kujipanga mdogo mdogo. Nunua godoro lako na jiko lako la gesi inatosha sana kuanza maisha shida wengi wanataka aanze na geto lina kila kitu.
Anza taratibu vitu vingine vinakujaga taratibu, na hapo sasa utakua umeanza pata akili ya Maisha, usikubali ufikishe miaka 25 bado upo kwenu afu mtoto wa kiume. Kama unakaa home trust me wazazi wako lazma wawe na mashaka na wewe.
Mtoto wa kiume kapambane na maisha huna kazi tafuta kazi, ukipigwa na maisha rudi home wakuboost unasepa uanendelea na kupambana utatoboa tu mbna, hata wazazi watakuombea sana wataona wana kijana mpambanaji.
La mwisho usipange gheto ukiwa na mawazo ya kugongea mademu humo akili yako itakua hvohvo na usikubali kuingiza wanawake wasiojoelewa kwenye nyumba/ gheto lako. Kupanga geto ndo mwanzo wa maisha ya kujitegemea mpaka unajenga yako.
Next time nitaleta uzi maisha yangu ya gheto yalianzaje[emoji120]. Msikate tamaa madogo mtafika tu huku.
Dah...mimi nina miaka 17 nasubiri post za shule zitoke niingie f5...hii post imenifanya niwaze mbali sana nami pia..mungu anitangulie tu[emoji110]HUU NDIYO UZI UMENIFANYA NIFIKIRIE SANA MAISHA YANGU.NINA MPANGO WA MWEZI WA SABA KUANZA KUISHI GHETTO
MADOGO NILIOWAACHA PREFORM 1 WAKO CHUO
Miaka 17 acha jockingDah...mimi nina miaka 17 nasubiri post za shule zitoke niingie f5...hii post imenifanya niwaze mbali sana nami pia..mungu anitangulie tu[emoji110]