Ulianzaje kukaa gheto?

Inahamasisha sana
Ongera
 
Yeah hata mm nililijua hilo mapema..
Sema tumu'ignore tu coz hana issue..

Nn;hivi ni maeneo gani mazuri ya kupanga ghetto kwa jiji la dar
Man nadhani inategemea na mtu mishe unafanyia wapi, ila kama mishe ni katikati ya jiji, Kigamboni kwangu pamekaa vizuri aisee
 
Man nadhani inategemea na mtu mishe unafanyia wapi, ila kama mishe ni katikati ya jiji, Kigamboni kwangu pamekaa vizuri aisee
Sehemu za kupanga inategemea unapiga mishe wapi, ukipanga Gongolamboto na unafanya kazi Mawasiliano unakuwa kichaa. Ni bora kupanga room ya elfu 80 karibu na unakofanya kazi kuliko kupanga elfu 50 ambako utalipa 400 kupafikia na utakaa njiani lisaa limoja.

Hiyo 800×28=22,400 ongeza usumbufu wa foleni siku flani itabidi uchukue bodaboda. Yani hiyo elfu 30 unayosefu haipo kabisa. Kwanza thamani ya masaa mawili unayopoteza go and return ni kubwa mno.
 
nimeielewa sana point yako ya kutunza muda apa.. na kupungza gharama pia
 
Mkuu naomba nisaidie linki hiyo
 
Mkuu tunakusubiri aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…