Ulianzaje kukaa gheto?

All the best wanangu mnaoplan kuanza life la kujitegemea🤠 Mungu wetu mkubwa
 
Nenda kuanzia kisasa hadi nzuguni
 
Wakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea [emoji110][emoji3]

Join hapo chini

 
Tupe Update la Gheto kaka
 
 
niende kwenye mada moja kwa moja, baada ya kujichanga sana nimefanikiwa kupata pesa ya kuanza maisha ya kujitegemea
Pesa ya kodi (chumba 30000/= ) kwa mwezi

Napatikana dar es salaam,

Kitanda, godoro, n.k....

Shida yangu ni hii ndugu jamaa na marafiki
Nahitaji vitu vya ndani vilivyotumika, bure au kwa malipo kidogo

Mwenye hivyo vitu ambavyo hana kazi navyo au amekosa kwa kuhifadhi, naombeni mumsaidie mdogo wenu

Au kama kuna mtu anajua sehemu zinapouzwa vitu used hapa dar, naomba nisaidie connection

Kwa wale wenye navyo hivyo vitu, kwa bei za kizalendo zaidi naomba mnishike mkono

Charity begins at home

Wakubwa shikamoni wadogo Marahaba, lika langu mambo ni poa tu
 

Kula like mkuu
 
Kila lakher mkuu
 
Canal+ Decoder.
Bei 22,000/= ila kinakuja ba kifurushi Cha mwenzi. 43,000/=

Jumla Ni 65,000/=

Hapo unaangalia mpira ligi kubwa zote ulimwenguni.

Nilisahau kutumia DSTv kitambo.

Kinapatikana wapi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…