Ulianzaje kukaa gheto?

Daah Uzi mkaali kinoma nineufuatilia kuanzia mwanzo yaani mwaka 2018 Hadi leo 2020 .ukweli ni kwamba huu Uzi umekuwa inspirational saana kwa mabaharia wengi kujitosa katika kuepukana na dharuba za kukaa majumbani kwa wazazi au kwa ndugu
Nimesoma Kuna mwana mmoja aliamua baada ya kuona kutumwa nyanya na dharau kibao kuzidi kutoka kwa wazazi
In reality wengi wamepitia na wanajua visanga na tabuvza kukaa na wazee wetu hasa wa kiswahili majumbani japo wengi ndipo tulipolelewa lakini Kuna muda unafika kidume mambo yamekuzidi unaamua kupambana kivyako.
Pia Kuna changamoto flani hivi ambayo wengi wamepitia Ile ya mzazi au wazazi kuona kwamba bado watakiwa ukae nyumbani kwa sababu tu akuone au akutume kumbe wewe Hali Ile hunipendi na inakukera huku ukicheki umri unazidi kusonga bila maendeleo yoyote Yale Sasa hapo ndipo kidume unapojilipua ama kujitosa huku ukiwa huskilizi lolote Lile kutoka kwa mtu . Sometimes unaweza Kuonekana mbaya lakini ule unakuwa ndo mwanzo wako na baada ya muda wazazi ndipo wanapoelewa Nini ulikusudia pindi uliposepa kivyako.Changamoto hii huwafikia Sana wale ambao makwao wazazi Wana uwezo flani hivi wa kukufunulisha mahotpoti kila siku yaani wewe wadogo zako wakifunika kawa wewe unatumika kwa kuuliza bado Nani ambaye bado ili ukipiga uondoshe lawama maana hukawii kuwamisisha madogo msosi .
Mwisho wa Siku unapangiwa Hadi zamu za kuosha vyombo daah wakuu tupambane tujijenge kuishi na wazazi sehemu moja jaaau kinoma yaani
Mimi Ni mmojawapo ambaye huu Uzi umeniispire saaaanaa na nipo njiani kukamilisha mipango ya kuhamia maghetoni kwangu are kila afe beki mpira haurudi golini.

Shukran saana kwa mkuu Walec kutukutanisha Wana kwa Uzi huu adhwiimu kabisa .Hakika umeinspire vijana wengi kuthubutu .
 
Bless sana mkuu, huu uzi umekuwa motivation kwa wengi
 
Kuna sehemu inaitwa MBOKOMU maeneo ya Tandale vinapatikana vitu used vya bei cheaper kabisa
 
Dah! Bonge la uziiiiii.....
geto kama geto nlijitupia kipindi naanza mitikasi ya kimaisha baada ya mambo ya shule kubuma.
Kipind hcho nlikuwa ndo kwanza naanza biashara ya nguo na viatu huku nkitokea hostel, nkaona n kama nabanwa kwa kiasi flan iv, nkatenga fungu kdg nkalipia chumba kwa miez mitatu, nkavuta bed 6*6 na godoro, ka mtungi kadogo ka gesi, sufuria 2, na vyombo kdg vya kuanzia, then nkaanza hvo.....
 
Respect pia kwako mkuu kwa kuanza kusoma uzi tangu mwanzo hadi mwisho[emoji119][emoji119][emoji119]...wacha mabaharia wazid kupata moyo
 
Nilichoka maisha ya kupigwa exile na mwana mwenye gheto lake....kila siku aniacha naliwa na mbu nje ..cha kufia maleria nini? [emoji38] [emoji38]
Mambo ya kuandikiwa mseto [emoji1787]
 
Aisee ilikua mwaka gan mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…