Ulianzaje kukaa gheto?

Cheki Sea Piano inauzwa Laki na nusu Kkoo, ipo vyema sana na inadumu, pia sio mbaya ukitafuta na stabilizer inasaidia sana kutochoma vifaa vya umeme
Ukitumia cable extension yenye fuse naona kama inasaidia vile maana umeme ukizidi, inamelt afu umeme unakuwa haufiki kwny kifaa chako
 
Kwa story zote humu. Mimi naona nilipanga nyumba sio ghetto 😂😂😂😂… nimemaliza tu chuo. Nilishachukua ghorofa vyumba vitano. Kimara suca. Stand alone. Mageti mawili. Alafu friji lina mayai juice za kumix zile concetrated. Maisha safi. Na nikawa nakaa na wadada aisee.. walikua mamevimba nyuma. Ilikua nataka mm nitandike yupi. I had everything. Ila baada ya miaka mitatu nilihama nyumba nikarudisha mpira kwa kipa.
Sikuwahi jua pesa ilitoka wapi ila nilikua nina hela. Magari nimeuza, nyumba nimepangisha. Na club nilizoenda walikua wakinilipa😂😂😂😂😂. I love BONGO
 
Mchumba at this point? Vijana mnajiamini sana!
 
Uuuuuh cc kipendhii [emoji7][emoji7][emoji7]nmekumic had naumwa, nlkua buzzy na field, ila nlipewa Ban ya 2months, yaan we acha tyuuh lol
Umepewa ban na mods au
 
Oyaa wanna ..magetoni ndio mipango acheni kukaa kaa om aise ..piga mishe yeyote, beba hata ma.vi, zibua mitaro, okota makopo uza ila usikae home aise ..ni kwere kinyama
Ila msifanye haraka kutoka home kama hujakaa vizuri kisa pressure za watu wa nje. Nakumbuka nilivyorudi kutoka mihangaikoni kwasababu ya ugeni nilifikia home. Walinzi na watu wengine wakaanza maneno sasa hivi nawapelekea magari waoshe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…