Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Tatzo wanawake nao wanavutika kirahisi ukiwa na getto kali. Utaskia nkipata mda ntakuja kukusalimia, na muda atapata jioni[emoji23]... Baadae unatunukiwa tunda kimasihara
[emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Enzi km enzi.....

images.jpeg
 
Mimi wakati naanza kazi 2019 nilipata demu mmoja mchaga, yeye alikuwa ashapiga hatua kwahiyo alikuwa na geto lake. Akanambia wakati najipanga kuhamia kwangu nisogee nikae kwake. Nilikaa pale almost miezi 2 nikaja kugundua bosi pia alikuwa anakula mbususu. Kwa hasira kesho yake nikatoka nikatafuta chumba mbali na pale alipokuwa amepanga huyo mwanaharamu nikaanza maisha na nilikuwa nalipa 70k. Kiukweli huyo bidada ndo alinipa hasira ya kuishi geto kwa jasho langu maana nilikuwa napata woga nilipokuwa nawaza maisha ya kupanga.

Taratibu napambana
Snapchat-40761866.jpg
Snapchat-2143033065.jpg
 
Mimi wakati naanza kazi 2019 nilipata demu mmoja mchaga, yeye alikuwa ashapiga hatua kwahiyo alikuwa na geto lake. Akanambia wakati najipanga kuhamia kwangu nisogee nikae kwake. Nilikaa pale almost miezi 2 nikaja kugundua bosi pia alikuwa anakula mbususu. Kwa hasira kesho yake nikatoka nikatafuta chumba mbali na pale alipokuwa amepanga huyo mwanaharamu nikaanza maisha na nilikuwa nalipa 70k. Kiukweli huyo bidada ndo alinipa hasira ya kuishi geto kwa jasho langu maana nilikuwa napata woga nilipokuwa nawaza maisha ya kupanga.

Taratibu napambanaView attachment 2035252View attachment 2035253

Unaangalia tamthilia ya Huba[emoji16]
 
Bila hivyo kwa uwoga wako,hadi Leo ungekuwa unaishi was huyo mchaga

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Mimi wakati naanza kazi 2019 nilipata demu mmoja mchaga, yeye alikuwa ashapiga hatua kwahiyo alikuwa na geto lake. Akanambia wakati najipanga kuhamia kwangu nisogee nikae kwake. Nilikaa pale almost miezi 2 nikaja kugundua bosi pia alikuwa anakula mbususu. Kwa hasira kesho yake nikatoka nikatafuta chumba mbali na pale alipokuwa amepanga huyo mwanaharamu nikaanza maisha na nilikuwa nalipa 70k. Kiukweli huyo bidada ndo alinipa hasira ya kuishi geto kwa jasho langu maana nilikuwa napata woga nilipokuwa nawaza maisha ya kupanga.

Taratibu napambanaView attachment 2035252View attachment 2035253
sema mademu wa kichaga wanazingua sana kudadeki kasoro sister zangu tuu
 
Hv inawezekana kupata spika/sabufa ya kuconnect na PC maana mambo yangu nafanya kwa kujiogopa kama natumia mihadarati bhn..

NB;Ndo nmeanza maisha ya geto so usinishaur ninunue tv kipato bado
 
Back
Top Bottom