Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ili Gheto liwe geto linahitaji vitu vinne muhimu... (1.KODI 2.KITANDA 3.JIKO 4.SABUFA)

Sio lazima uwe na(TV,MEZA,SOFA,KABATI,SHOWCASE)....Unaweza ukaongeza ukishatengamaaa taratibu
 
Ili Gheto liwe geto linahitaji vitu vinne muhimu... (1.KODI 2.KITANDA 3.JIKO 4.SABUFA)

Sio lazima uwe na(TV,MEZA,SOFA,KABATI,SHOWCASE)....Unaweza ukaongeza ukishatengamaaa taratibu

Mimi naona
1.Kodi
2.Godoro
3.Jiko
4.Sabufa
 
Gheto sio sehemu ya kuingiza wanawake mtu unawaza upange ili uchakate papuchi aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutafika mbinguni tumechoka sana
Tatzo wanawake nao wanavutika kirahisi ukiwa na getto kali. Utaskia nkipata mda ntakuja kukusalimia, na muda atapata jioni[emoji23]... Baadae unatunukiwa tunda kimasihara
 
Tatzo wanawake nao wanavutika kirahisi ukiwa na getto kali. Utaskia nkipata mda ntakuja kukusalimia, na muda atapata jioni[emoji23]... Baadae unatunukiwa tunda kimasihara
Nyie mnawatoa wap hao....mie pamoja na kupanga mwaka wa pili huu sijawahi kupata shobo za wanawake kisa Nina ghetto..na wengi wanajua
 
[emoji28]si unajua kule kwetu kiwanja hadi cha laki unapata Liganga kigonsera chochi huko[emoji1787]. Sasa kujenga na unaezeka nyasi eti

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ooooh kule n sawa, af mbna hata huku town shule ya tanga, kiwanja had lak 7, daaah.
 
Nyie mnawatoa wap hao....mie pamoja na kupanga mwaka wa pili huu sijawahi kupata shobo za wanawake kisa Nina ghetto..na wengi wanajua
[emoji23][emoji23] au uko so serious bro... Mana wanaogopaga ma men wenye hawako social...
 
Mkuu kama ukiwa na ghetto kali, utawala mpaka basi. Mimi ndo kwanza mwezi wa pili huu ila balaa lake mpaka naishia kuwakimbia.
vijana tubadilike. kukaa gheto isiwe kgezo cha kuendekeza mapenz mda wote. bado tuna mengi ya kufanya mfano, kutafta pesa tujenge nyumba zetu, kutathmin mustakabali wa bidhaa kupanda bei kila sku, etc
 
Hii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.

Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).

Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu[emoji23]

Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu
Dgo kwa kua bado uko chuo,hebu subir umalize. Maana ukienda ghetto utamgharimu broo coz Kila kitu unategemea kwake. Raha ya ghetto uwe na michongo yako binafsi.
 
Back
Top Bottom