Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kwamba awe na kiasi flan cha kuanzia maisha ila asiwe na shughuli ya kumpa kipato ndo akapange??
What if hicho kiasi kikiishia ktk mahitaj ya geto??.... Atayamudu vp maisha ya geto???
Kama ameweza kuunga unga mpaka akapata kiasi cha kuanzia maisha ghetto why asindwe kuishi getto?

Mkuu kwamba hujawahi kuona vijana hawana ajira/kazi mtaani ila wanaunga unga tu na maisha yanasonga?
 
Huko kuunga unga n moja ya shughuli tunazozungumzia hapa (inampa kipato), unless hio kuungaunga iwe na maana tofauti na ninavofaham.
 
Uko sahihi.
Ila point yangu ni kwamba l,kwa mfano mtu kama huyo anae unga unga huwez kumshauri eti mpaka apate kazi ndio ahamie ghetto,muache atoke home akaunge unge maisha kitaa.

Na mtu anae unga unga huwezi kusema eti ana kazi,kwasababu mtu huyu unaweza ukapita mwezi mzima hajaingiza kitu ila mwezi unaofuata akapiga mshindo wa ku-survive miezi miwili.
 
Uko sahihi.
Ila huko kuun
Kuunga unga...... "Leo ni saidia fundi sehem, kesho atapewa bajaj aendeshe kwa kutwa moja, siku inayofuata atabeba mizigo, ataingia kiwandani kwa masaa, n.k."

Kwa kifupi ni kuwa hana kazi rasmi ila anajishughulisha na chochote kitakachoibuka mbele yake, apate kipato.

Huyu ni tofauti na jobless ambae hana cha kushika kabisa. Asubuhi adamke, aswaki arudi kulala hadi saa 4, atafute chai, aoge, aangalie ishu ya lunch, atoke kwenda misele, arudi, aoge, ale alale.
 
Uko sahihi kabisa.
So kwa aina ya kazi kama hizi za kuunga unga ambazo zinapatikana muda wowote kitaa kama tu unaweza kujichanganya, hivyo turudi katika point yetu ya msingi...jamaa kama anataka kuhamia geto ahamie tu bila kujiuliza mara mbilimbili,hayo maisha atapambana nayo hata kwa style hii.
 
Kama ni mtu wa hizi mishe hana haja ya kusubiri...... Ahamie getto chap.

Hawa watu wanakuwaga na connection ambazo kwa kawaida n ngumu sana kuzipata. Pesa kwao n uhakika.
 
Mie nilishahamaga nikawa naishi geto asee,mama alinifuata kurudi home bila kupenda[emoji1787]

Sasa nipo mbali nae nawaza nisirudi mkoani nipange tu[emoji28]mwakani sasa[emoji120]

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Unaonekana we ni lastborn Mana haiwesekani umepanga afu unarudi kwenu kufanya usafi [emoji23][emoji23][emoji23] anyway hapa mtaan kwetu Kuna chumba kinapangishwa njoo ulipe kabisa kodi
 
Uko sahihi kabisa.
So kwa aina ya kazi kama hizi za kuunga unga ambazo zinapatikana muda wowote kitaa kama tu unaweza kujichanganya, hivyo turudi katika point yetu ya msingi...jamaa kama anataka kuhamia geto ahamie tu bila kujiuliza mara mbilimbili,hayo maisha atapambana nayo hata kwa style hii.
mie ni introvert(70%), napata shda kujichanganya na washkaji asee. unakuta nawajua kabisa fulan ana bajaji na anaeza niachia daywork ila kwenda kumwambia nakua mzito knoma asee.
 
I feel you mzee...ila at times aisee inakubidi tu ujaribu aisee
 
mie ni introvert(70%), napata shda kujichanganya na washkaji asee. unakuta nawajua kabisa fulan ana bajaji na anaeza niachia daywork ila kwenda kumwambia nakua mzito knoma asee.
Ni vigumu sana kuiepuka hiyo hali ila hakuna namna mkuu,inakubidi tu uchangamkie fursa.
Usiwe mzito!
 
Back
Top Bottom