Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Tatizo baadhi tunataka tuanzie pakubwa ndio maana inatazamika kama ni ndogo.
Mdogo mdogo ndo mwendo apo ningekuwa mimi ningelipa kodi nanunua godoro jiko na mambo mengine ya muhimu afu najipa miezi au kadhaa ya kubadirisha gheto
 

IMG_1728.jpg

[emoji4][emoji4]
 
Nataka nivute ka flat 32 inches, brand gani ipo poa Kati ya aborder, Rising, europe, solarmax na ailyon

Msaada wadau

Pamoja na fridge boss, Mr uk au pinetech
 
Mimi niwe motivational speaker ili iweje?
Mimi nampa uhalisia wa maisha ya mpambanaji haswa,sio wote wanaweza kufuata mfumo huo.

Unajuaje kama jamaa anacho kiasi kidogo cha kuanzia maisha ya kupanga ila hana tu shughuli ya kumuingizia kipato?
Kwamba awe na kiasi flan cha kuanzia maisha ila asiwe na shughuli ya kumpa kipato ndo akapange??
What if hicho kiasi kikiishia ktk mahitaj ya geto??.... Atayamudu vp maisha ya geto???
 
Uhuru wa kuzidi nao akili zinatakiwa Sanaa [emoji1787][emoji1787] wakati nipo home nilikuwa siwaelewi wavuta shisha wakike.

Najishangaa now ni mvutaji pro max [emoji3064] napambana next year nisithubutu.
Komaa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom