Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji23] ko unamkomaa kwa bimdashi.....
Getto ipo raha bro, hasa ukiwa na harakat zako za kimaisha... Ni full uhuru an.
Uhuru wa kuzidi nao akili zinatakiwa Sanaa 🤣🤣 wakati nipo home nilikuwa siwaelewi wavuta shisha wakike.

Najishangaa now ni mvutaji pro max 🥺 napambana next year nisithubutu.
 
Yan 1m unapata tu kitanda, godoro, TV showcase na TV hela inaisha.😃
Kitanda na godoro laki nne inabaki laki sita.....hapo kodi ya pango hujalipa bado

Kama anataka kulala chini kwanza kwa godori tu na kapeti anapanga vizuri tu...
 
Uhuru wa kuzidi nao akili zinatakiwa Sanaa 🤣🤣 wakati nipo home nilikuwa siwaelewi wavuta shisha wakike.

Najishangaa now ni mvutaji pro max 🥺 napambana next year nisithubutu.
Mtungi mpaka ladha ninavyo njoo nikupe
 
Nimeanza rasmi kukaa geto wiki mbili nyuma apo sahv nipo nasoma mtandaoni jinsi ya kupika vyakula tofauti tofauti maan mwanzo nilikuwa nakula kwa migahawa ila nmeona kunamaliza tu hela na chakula hakina ladha hivyo juzi mwisho wa mwez nimenunua gas ndogo nmeweka ndani na sufulia na vyombo vidogo kama sahani, vijiko, mwiko n.k vyakula pekee najua kupika ni wali na ugali tu[emoji1][emoji1]

NB;UKIISHI GETO ALAFU NI BACHELOR NA KUWALA KIMASIKHARA WAPANGAJI WAKIKE NI SUALA GUMU KULIEPUKA[emoji51]
Hongera sana.. ila hapo kwenye NB namimi nakuongezea N:B nyingine "UKIMWI UPO MWAAMWAMWAAA"
 
Back
Top Bottom