Umejiongeza.Hahahahaha mkuu maharage yanachemshwa wikiendi halafu yanakaa kwenye kisado ndani ya deep freezer [emoji2]
Kazi yangu ni kuyatoa yakiyeyuka kidogo ni kuunga tu
Geto bila freezer utapika kila siku na gharama za chakula zitakuwa juu
Asantee mkuu kwa mchango wako..bila shaka wana watanufaikaKwa wale ambao tupo magetoni na hatuja ajiriwa napenda kuwatia moyo kua tupambane tu kitaa. Kama huna mishe maalumu piga kazi yoyote ile iliyo halali. (mm sio mdau wa madili haramu, ingawa nilishawahi kufanya baadhi)
Lengo Ni kujitengenezea kipato kitakachofanya uendelee kusurvive maghetoni (pango, na mahitaji mengine madogo. Yaan hapo usichague kazi Kama huna kazi maalumu ilimradi unanguvu, Basi nguvu na akili iwe mtaji wako wa kwanza.
Pia usisahau kutafuta mishe maalumu utakayoitegemea Kama shughuli kuu ya kiuchumi, hii itasaidia kufocus na maisha. Ukiwa na mishe maalumu itakufanya uwe na uchumi flani stable, mfano Kama inakupa laki 300000 kwa mwezi Basi inakua uhakika, yaani inakua stable lazima hicho kiasi kiingie. Hapa pia malengo ya maisha kwa kiasi fulani hua yanafanikiwa au yanakaa sawaa.
Wadau Jambo kubwa usiisahau kuishi vizuri na jamii inayokuzunguka toka kwenye misiba, changia rambirambi, changia shughuli za maendeleo ya mtaa, Kijiji, kata. Maana utahitaji uwepo wao hasa viongozi ikitokea baadhi ya vitu kma umeibiwa, umeugua Sana na ndugu wako mbali, umefiwa, umepata ajali, au majanga ikapelekea kupelekwa polisi n.k. hivyo jamii itakuokoa pia.
Hapo chini ndo mishe zangu nauza mawe ya kujengea. View attachment 2068429
Kila lakheri mkuu..vinatosha hivyoMwaka huu lazima nijitegemee,,Nimepanga kununua godoro la 4×6, Gesi,Kodi ya miezi mi3 baas,,vingine vitakuja mdomdo2
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Namshauri godoro anunue 5*6. Ni kubwa linatosha kulala watu 2. Vzr. Then hutanunua Tena. Ila 4*6 itakumfanya baadae ununue lingine maana ataona Ni dogo kwa baadae. Kama unaweza vitu vya ghetto nunua Mara moja usirudie rudie. Mfano. Kma tv chukua kubwa maybe 32 inch, yaan baada ya hapo hutawaza kununua tv nyingine. Kitanda nunua kikubwa hutawaza kununua kingine. Hivyo vitu vilinicost sana. Ilinibiti nianze kununua vikubwa Tena.Mwaka huu lazima nijitegemee,,Nimepanga kununua godoro la 4×6, Gesi,Kodi ya miezi mi3 baas,,vingine vitakuja mdomdo2
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Tunapeana hamasa kua watu tunapiga dili za kawaida tu, Ila magheto yetu yako pia yanaendelea.Asantee mkuu kwa mchango wako..bila shaka wana watanufaika
Well said mkuu [emoji383][emoji383]Namshauri godoro nunua 5*6. Ni kubwa linatosha kulala watu 2. Vzr. Then hutanunua Tena. Ila 4*6 itakufanlya baadae ununue lingine maana utaona Ni dogo kwa baadae. Kama unaweza vitu vya ghetto nunua Mara moja usirudie rudie. Mfano. Kma tv chukua kubwa maybe 32 inch, yaan baada ya hapo hutawaza kununua tv nyingine. Kitanda nunua kikubwa hutawaza kununua kingine. Hivyo vitu vikinicost sana. Ilinibiti nianze kununua vikubwa Tena.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
....Oa bhana...achana na housegirl kwa sasaGeto raha sana shida inakuja kwenye suala la kuosha vyombo baada ya kupika.... ACHA NITAFUTE HOUSE GIRL TU HAKUNA NAMNA
Afanyie kazi huu ushauri.Namshauri godoro anunue 5*6. Ni kubwa linatosha kulala watu 2. Vzr. Then hutanunua Tena. Ila 4*6 itakumfanya baadae ununue lingine maana ataona Ni dogo kwa baadae. Kama unaweza vitu vya ghetto nunua Mara moja usirudie rudie. Mfano. Kma tv chukua kubwa maybe 32 inch, yaan baada ya hapo hutawaza kununua tv nyingine. Kitanda nunua kikubwa hutawaza kununua kingine. Hivyo vitu vilinicost sana. Ilinibiti nianze kununua vikubwa Tena.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
😂sio sanaSasa house girl si utamkula mkuu [emoji3]
kuoa kwa sasa bado boss.......Oa bhana...achana na housegirl kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee hii soundbar ukiweka movies watoto hawaruki [emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]
Housegirl utamtafuna tu, kuna mwana mmoja alishauriwa aoe akakacha akamleta housegirl ili asaidie kazi baada ya muda alianza kujisevia mdogo mdogo mpaka akapata kibendi, ikabidi awe wife tuGeto raha sana shida inakuja kwenye suala la kuosha vyombo baada ya kupika.... ACHA NITAFUTE HOUSE GIRL TU HAKUNA NAMNA
utafanikisha tu inbadi ufanye unyama mwingiWakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
Kama upi mkuu?utafanikisha tu inbadi ufanye unyama mwingi